Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nimefuatilia kwenye kipima joto wanaowaunga mkono wabunge wa Chadema kutoka nje ya Bunge wamefikia aslimia 75 na waliosema sio ni kama 24 hivi kama sikose. Sasa tuje kwa wananchi. Imanii yangu ni...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Mbunge la Mh. Sita lilikuwa na mvuto kwa sababu alikuwa hajali masilahi ya ccm, lakini huyu mama hana lolote, anakataa hoja ya upinzani halafu anaruhusu wabunge kuacha kujadili katiba na kuanza...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Hofu ya sasa ya ccm kwa chadema ni kutokana na ukweli kwamba hiyo 'katiba' mpya itakutana na aibu ya mwaka itakayofanikishwa na cdm na kupigiwa kura za maruhani. Kwa katiba kupitishwa kwa kura za...
0 Reactions
0 Replies
910 Views
Ukiangalia bunge utajua kawamba wanachofanya 85% ya wabunge wa magamba ni kushambulia utu wa lisu badala ya hoja iliyoko mbele yao sasa angalizo nia kwamba hawa jamaa hawajui kwamba wanatumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Raisi JK ameingia Dodoma kwa ndege asubuhi ya leo. Kwa muda huu inasemekana yupo ktk kikao na wabunge wote wa CCM ktk ukumbi wa Pius Msekwa. Moja ya ajenda ya kikao hicho ni kushinikiza wabunge...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
Baada ya malumbano kuhusu ni chama kipi kikuu cha upinzan tz kwa sasa,hebu watz 2pige kura hap jf!piga kura mar 1 tu!chagua chama kmj kati y hv (a)CUF (b)CHADEMA (c)NCCR_MAGEUZI. Andika jina...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Sote tunafahamu mapinduzi ya kweli kule Tunisia yalianzaje, alikuwa ni kijana mmoja aliyetumia muda wake kudili na masomo akawa amehitimu mwisho wake! Hakubahatika kuhajiliwa akahamua kujiajili...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Nimemsikia Mh Kafulila akihojiwa BBC akisema tuwe na a parallel process ya kutengeneza katiba mbadala. Ni obvious ya kwetu itakuwa nzuri zaidi kwa hiyo ni kwenda kuipinga ya kwao bungeni na pia...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A). Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na...
2 Reactions
47 Replies
6K Views
Wazanzibar hawajui wanalolitaka, Bungeni wanautaka Muungano, Mtaani hawautaki Muungano. Hizi ni Tabia za Popo, Si Ndege wala si Mnyama Wazanzibar kuweni na Msimamo
0 Reactions
32 Replies
3K Views
Najiuliza sana kama Bunge letu kweli linaweza kuwa chombo kinachojitegema. waliotengeneza taratibu au kanuni za kuendesha bunge wanaweza kuthibitisha kuwa labda walikosea au walifanya makusudi...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kuna mambo matatu (3) siyaelewi kuhusu huu mchakato wa kupata katiba mpya. 1. Suala la katiba mpya lilikuwa siyo agenda ya ccm na wala halikuwa kwenye ilani yake ya uchaguzi wa mwaka jana, na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
There is something seriously wrong with the administration of law and justice by my current government. The country has laws but their administration is selective and unfair, mostly because some...
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Sasa hivi inaelekea chama tawala kimeishiwa hoja za nguvu hivyo kulikabidhi jeshi la polisi na la wananchi kushughulikia hoja zote za kisiasa, kiuchumi, kibiashara, kielimu na kijamii kwa kutumia...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki...
0 Reactions
35 Replies
3K Views
SAFARI ya ghafla ya Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na mabadiliko ya ghafla ya ratiba ya vikao vya Bunge, jana vilizua hofu miongoni mwa wabunge, huku kukiwa na taarifa kwamba huenda muswada wa...
0 Reactions
19 Replies
3K Views
Jamani hivi hii Taasisi ina kazi gani?mbona kila kukicha wao ni kuilalamikia serikali tuu.Mimi sioni wanachokifanya isipo kuwa juzi nimesikia wamezindua kitabu cha hotuba za mwalimu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kuna wakati mwingine huwa najisikia vibaya sana kujivunia Utanzania wangu! Kwenye macho ya wengi huwa tunaonekana watu wenye amani sana! Kiukweli sivyo! Nimeangalia ITV leo kule Meatu! Askari...
0 Reactions
0 Replies
969 Views
Ndugu zangu, Kwa mujibu wa ratiba za Bunge Ijumaa ya leo ndio kimsingi itaamua mwelekeo wetu kama taifa. Kwamba ni njia ipi Wabunge wetu na hususan wa Chama Cha Mapinduzi wanataka kutupitisha...
1 Reactions
0 Replies
933 Views
NDOTO za Watanzania kupata Katiba Mpya kwa njia ya mwafaka na maridhiano ya kitaifa sasa zinaonekana kuota mbawa kwa sababu mbili kubwa. Kwanza, mwenendo wa wabunge wengi, hasa wa chama tawala...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Back
Top Bottom