Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wakuu, Kama kuna ambao wangependa kutoa ushauri, maoni na kadhalika kwa chama cha NCCR-Mageuzi, pamoja na kwamba thread hii inaweza kutumika, kuna blog yenye picha na takwimu ambapo comments...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Fri, Nov 18th, 2011 Fri, Nov 18th, 2011| Tanzania Chadema MPs` secretary John Mnyika Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) has postponed its central committee meeting which was to...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuna kila dalili kuwa Bunge la Kumi likapinduliwa na kuitishwa uchaguzi Mkuu wa Bunge.Hii inatokana na kiburi kinachooneshwa na Wabunge pamoja na Spika wao kuendelea kuujadili Muswada wa Katiba...
0 Reactions
23 Replies
3K Views
IMEKUWA ni kawaida kuona ama kusikia polisi wakiwashambulia kwa risasi za moto na mabomu wananchi waliogoma, wanaoandamana, wanafunzi wa vyuo vikuu waliogoma, wafanyabiashara ndogondogo...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
NIKITAFAKARI MCHAKATO WA KATIBA JINSI UNAVYOENDELEA MCHAKATO WA KATIBA HAUPO TENA KWA WANACHI, MASKINI WATANZANIA HAWA WAMEBAKI WATAZAMAJI KAMA SIO MASHABIKI WA MITIZAMO YA KIVYAMA. KIUKWELI...
0 Reactions
0 Replies
828 Views
Katiba inaweka sharti la kiwango cha elimu kwa viongozi: kwamba KIONGOZI WA KITAIFA SHARTI AWE ANAJUA KUSOMA, KUANDIKA NA KUHESABU TU TENA KWA KISWAHLI...!!! waziri mkuu MIZENGO PETER PINDA...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
leo jaji mstaafu barnabas samatta amefunguka na kudai kuwa katiba ya sasa inamapungufu makubwa na inawapa baadhi ya watu madaraka makubwa ambayo yanawafanya kuwa madikteta. Mambo aliyogusia ni...
2 Reactions
37 Replies
4K Views
Hakuna jipya Mwanasheria Mkuu na Waziri wanarudia yale yale. Waendelea kumshambulia Lisu na CHADEMA.
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Wakuu nimesikitishwa sana na kauli ya waziri wa mambo ya ndani. Nashindwa kuamini kama ni kweli ametoa kauli hii. Naweza kusema inafanana kiasi na ile ya Rais, ya kuwataka mafisadi warudishe fedha...
0 Reactions
9 Replies
1K Views
Sheria nzuri ni ile inayokubalika. Hata uwe na sheria nzuri kiasi gani kama haina support ya wananchi ni bure. Huu mswada wa katiba ambao ccm wanashangilia sana hauna maana yeyote maana huku nje...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Ule mchezo wa kugawa PHD kwa wanasiasa unaendelea na sasa ni zamu ya mzee Ruksa Ally Hassan Mwinyi atapewa shahada ya uzamivu hii hapa chini tarehe 26/11. .HONORARY DOCTOR OF LETTERS (D. LETT)...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Hawa wabunge kweli mapovu yanawatoka. Wamejaa ubabe na mipasho. WASSIRA anafuata. Nitatoa updates
0 Reactions
231 Replies
17K Views
Wana JF Leo asubuhi nimesikia taarifa kwenye baadhi ya vyombo vya habari kwamba kuna msaada wa fedha umetolewa pungufu kwa uganda baada ya wanaopigania suala la ushoga kuweka vizuizi...
0 Reactions
3 Replies
961 Views
Jana ktk kipindi cha Power breakfast walitangaza kuwa watakua na mahojiano LIVE leo asubuh na waziri wa elimu kwa hyo watu watume maswali yao yatajibiwa. Cha kushangaza ni kuwa wakati wao...
0 Reactions
16 Replies
2K Views
Tarehe moja kwa maandamano nchi nzima bila kujali itikadi ndo suluhisho la uhuni wa CCM. Tarehe tofauti tofauti kwa kila kundi ni sumu na itazidi kutugawa watanzania.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
nijuavyo Katiba ni muongozo kwa ajili ya wananchi wote bila kujali chama cha siasa, dini kabila, nk kwa nini tunashindwa kujadiliana? Hii mivutano inatoka wapi. Kweli katiba ikiwa mbovu halafu...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Mara nyingi nimeona TBC1 wakiwaalika wabunge wa CCM na CUF katika kipindi cha Jambo Tanzania na mara nyingi Wabunge hao wamekuwa wakijaribu kujibu hoja zilizotolewa na CHADEMA Bungeni na kutoa...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
A lone Jewish settler challenges Israeli security officers during clashes that erupted as Israeli authorities cleared the West Bank settlement of Amona, east of Ramallah. Thousands of troops in...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Baada ya wanaharakati kufikisha madai yao na barua yao UN Zanzibar hapoi last week zidi ya muungano. Sasa maandamano makubwa kupinga mungano yamepangwa baada ya swala ya ijumaa 18 Nov 2011...
6 Reactions
132 Replies
13K Views
Ni Tetesi but will soon be confirmed: baada ya kupima kipima joto cha nje ya bunge, madam spika ameumwa sikio na baadhi ya vingunge wa magamba atoe muda kwa madam waziri ili apate muda...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Back
Top Bottom