Nyenyere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 14,769
- 10,649
Katika hali isiyotarajiwa leo majira ya saa 9 mkuu wa mkoa Arusha aliamuru uvamizi katika kituo cha redio ( jina sikulinasa lakini sio triple A).
Madai ni kuwa kituo hicho kilifanya mahojiano na mh. Lema na akatumia nafasi hiyo kumtukana RC. Polisi walifanya upekuzi na kusikiliza kumbukumbu za kipindi hicho na kuwahoji baadhi ya wafanyakazi kwa karibia masaa matatu. Kisha waliondoka wakidai watarudi kama watabaini kuna kosa lilitendeka.
SOURCE WAPO FM.