Mkuu wa mkoa Wa Rukwa mh. Stella Manyanya ametangaza kuwashughulikia wale wote watakaoleta maandamano na vurugu hasa akiwalenga chadema ameyasema hayo wakati akichangia muswada Wa katiba.
Wabunge wa bunge la TZ wanawahujumu wananchi kwa kutumia muda vibaya katika vikao vya bunge kwa sababu zifuatazo:-
1. Kutumia muda mwingi kushukuru kuilko kuchangia mada iliyoko mezani kwa...
Wapendwa wanajamii
Jinsi mambo yanavyoenda ndani ya Serikali ya CCM, kuna uwezekano Muswada tete ukaahirishwa...hadi Bunge la Feb 2012.
Naomba tuwe wavumilivu hadi hapo kesho jioni....
Tanzania siyo nchi yenye uwezo wa kumiliki gari la wagonjwa lenye miguu mitatu, Tunaiomba serikali iache dharau kwa Raia wake, huu ni utovu wa nidhamu ulio waziwazi wa wananchi wa taifa la...
Katibu wa Itikadi na Uenezi wa CCM, Nape Nnauye
Nnauye anadaiwa kutoa kauli kwamba wana uhakika wa ushindi wa Lema unaopingwa na wapiga kura watatu, wote wanachama wa CCM, utatenguliwa na...
Kesho ndo bunge la Ccm na serikali vinatarajiwa kuupitisha Muswada wa sheria ya marekebisho ya Katiba! Unawashauri wafanye nini kipindi hki? Kama kweli wananchi walio wengi wanapinga uwasilishwaji...
BY THE GUARDIAN REPORTER
17th November 2011
The wildlife Conservation Society of Tanzania(WCST) has said there is a need for a comprehensive strategic approach to the planned development of a...
Nawasikiliza wageni walioalikwa leo katika kipindi cha majadiliano wapo Radio fm. Napata taabu kuwaelewa na kuelewa usomi wao. Sina hakika kama wanaelewa wanachojadili, yaani kuuelewa muswada...
Blandes MP heshima kwako,
Mimi naishi ktk kijiji cha NYAKAKIKA, tarafa ya NYABIONZA ktk jimbo la KARAGWE.
Naomba nisimame kwa niaba ya wananchi wa kata, tarafa pia Jimbo langu kua hayo...
Spika wa Bunge la Tanzania ametoa ufafanuzi kuhusiana na jina lake. Anasema jina lake ni Anne Makinda na wala sio Anna Makinda. Zaidi ya matamshi, kuna tofauti yoyote kati ya majina Anne, Ann...
hivi hawa wanawezaje?natazama tv hapa pm wa italy kaunda serikali yenye mawaziri wote 16 wanataaluma hakuna mwanasiasa hata mmoja...hapa kwetu tunahangaika na midubwana kama akina wassira...ahghhhhh
Thursday, November 17, 2011, 7:42
Rai-habari
Na John M. Kibasso
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kinatarajia kufanya kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa (NEC) mwezi huu. Kikao hicho kitafanyika mjini...
Nimeongea na watu wengi wa Karagwe kuhusu kauli aliyosema bungeni mbunge wa Karagwe Blandes kuwa wananchi wa Karagwe wamemtuma kuwa wanakubali muswada wa tume ya katiba uliopo bungeni upite kama...
Hayawi hayawi sasa yamekuwa, lilelilo tabiriwa kuwa mke mwema mtu hupewa na BWANA na si vinginevyo, sasa wazanzibar wamegundua hawahitaji tena ndoa hiyo bali kujitegemea na kuolewa OIC kuendelea...
Thursday, November 17, 2011, 7:47
Rai-habari
*Zama hizo malipo ya Wabunge yalikuwa Sh 4,000 tu
*Mwalimu Nyerere ‘alifyatuka' kuhusu malipo haya
Na Chrysostom Rweyemamu
HISTORIA inaendelea...
MVUTANO baina ya wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi kwa upande mmoja dhidi ya Serikali na wabunge wa CCM kwa upande mwingine, umevuta nchi wahisani ambao wametuma maofisa wake mjini Dodoma...
.....send your ideas.....demand Freedom of Information law to be included in the country action plan [please note:Tanzania will be evaluated based on these commitments contained in the country...
Hi wanajamvi.
kuna kauli za kilevi ambazo zimekuwa zikitolewa na baadhi ya vigogo wa CCM na serekali hapo nyuma kuwa balozi zao zinafadhili upinzani.
mmoja wapo alikuwa sophia simba na bernad...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.