Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ni dhahiri kabisa kuwa ameshindwa kuinua uchumi wa nchi na badala yake ameendelea kuudidimiza. Katika hali hiyo hakuna kitu chochote cha maana atakachokumbukwa na Watanzania na hata kizazi...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Tanzania ya leo inahitaji katiba ya nchi iliyotokana na mapendekezo ya wananchi ili ipate uhalali (Legitimacy) ya kuheshimiwa. Mjadala wa muswada wa katiba unaoendelea sasa umekuwa ukipingwa na...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
i huku wanadai katiba mpya maandalizi ya kula bata kwa kisingizio cha miaka 50 ya uhuru Z'bar wanapanga maandamo ijumma hii hawaupendi kabisa muungano wetu CDM hawaingii bungeni wanasambaza...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Maelfu ya waandamanaji katika mji wa New York wameendelea na harakati zao wakielekea kuvuka daraja la Brooklyn, kuonyesha ghadhabu zao dhidi ya kuendelea kuwepo matabaka nchini humo...
0 Reactions
0 Replies
987 Views
WAKUTANA NA OFISI YA SPIKA, UPINZANI BUNGENI DODOMA MVUTANO baina ya wabunge wa Chadema na NCCR Mageuzi kwa upande mmoja dhidi ya Serikali na wabunge wa CCM kwa upande mwingine, umevuta nchi...
1 Reactions
34 Replies
5K Views
Swala la muungano wa Tanganyika na Zanzibar limekuwa likizua mijadala kila kukicha, hasa inapofikia kwenye mahali ambapo zanzibar na Tanganyika wanatakiwa kushiriki pamoja katika maamuzi makubwa...
1 Reactions
29 Replies
3K Views
Ndugu watanzania wenzangu naomba niwakumbushe hii dhana tunayoenda nayo yakusema nikwa maslahi ya chama itatufikisha pabaya watanzania na laana ya watanzania itawaangukia nyinyi!mimi binafsi...
0 Reactions
0 Replies
995 Views
Ndugu wadau dalili zinaonyesha kuwa CCM wanajipanga kumuongezea Rais Kikwete muda wa miaka miwili kwa kisingizio cha kuandaa mazingira mazuri kwaajili ya katiba mpya. Moja ya wabunge wa CCM...
2 Reactions
48 Replies
5K Views
Twelve years after his death Mwalimu Julius Kambarage Nyerere will be immortalized once again after a new collection of his speeches and other literal works will be published by the foundation...
10 Reactions
113 Replies
9K Views
Ukifuatilia hoja za wana CCM kama vile Jenista Mhagama Bungeni utashangaa. Wanajisahau kiasi kwamba wanadhani katiba ya nchi ni mali ya CCM. Muda huu siyo wa CCM kudanganya wananchi. Huwezi...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ndugu zangu, Kuna kisa cha kijana aliyehangaika sana kuusaka ukweli. Katika pitapita zake akaliona duka. Kibao kimeandikwa dukani ; ” Hapa tunauza ukweli”. Dukani hapo ukweli unauzwa kwa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Taarifa zangu za kiintelijensia zimenipasha kuwa leo viongozi wa Jukwaa la Katiba watakuwa na kipindi Live Mlimani TV kuanzia saa mbili unusu usiku. Naamnini wanaweza kujibu hoja nyingi...
1 Reactions
71 Replies
6K Views
Imenishangaza sana serikali ya namna hii, yani inashindwa kuwapa wanafunz loan wasome eti wanasema kwamba serikali haina hela!!!, af wanapat hela za kuwalipa DOWANS na RICHMOND!!!!!!!!! Hiv kweli...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Forbes has released the list of rich politicians but unfortunately our Tanzanian politicians are nowhere to be seen...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kama ilivyo BOT na TRA, hawa National Audit according to website yao hawana management hebu cheki hii website: National Audit Office of United Republic of Tanzania
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Kwa wale mnaopata KBC na citizen muwe mnafuatila bunge la kenya mjifunze. Ukiwaangalia wabunge Kenya ni makini sana na wana hoja nzito na wanakuwa wamesoma na kuwa na uelewa wa mambo kabla ya...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Swali lipo hivi "Kambi rasmi ya upinzani kususia mjadala wa katiba, je ni suluhisho?"
0 Reactions
44 Replies
5K Views
Ndugu Watanzania Wany'onge, Nina masikitiko makubwa kwa hayo ambayo yanatendwa na walioshikilia dola. Kusomwa kwa mara ya pili kwa mswada na kushindwa kuwasikiliza walio wengi (Watanzania) kwa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Godfrey Dilunga-Raia Mwema NOVEMBA 14, mwaka huu, Serikali kupitia kwa Waziri wa Katiba na Sheria, Celina Kombani, iliwasilisha Muswada wa Sheria ya Mabadiliko ya Katiba mpya. Muswada ambao...
4 Reactions
51 Replies
4K Views
Wadau mko wapi tulichangie hili?hao vogogo walopewa hivyo viwanja wako wapi?waanikwe tuwajue then tuwachambue wana manufaa gani kwa wakazi wa mafia?maana anatajwa Dr Dau tu kwani yeye kapewa...
0 Reactions
0 Replies
810 Views
Back
Top Bottom