Ccm, polisi na virungu

mwananchit

JF-Expert Member
Oct 13, 2008
242
296
Sasa hivi inaelekea chama tawala kimeishiwa hoja za nguvu hivyo kulikabidhi jeshi la polisi na la wananchi kushughulikia hoja zote za kisiasa, kiuchumi, kibiashara, kielimu na kijamii kwa kutumia virungu, risasi, maji ya washawasha na kamatakamata. Wahenga walisema kwamba kama zana pekee uliyobaki nayo ni nyundo tu, basi kila tatizo utaliona kama msumari hivyo suluhisho ni moja tu - kushindilia!

When the only tool you have is a hammer, you tend to regard every problem as a nail-you just hammer!
 
Thead zingine bana!
 
Kwa mantiki hiyo nchi iko mikonon mwa jeshi,hawa wajinga si waondoke ijulikane hatuna viongozi!
 
Back
Top Bottom