Mwalimu Nyerere Foundation ni Taasisi ya Kuikosoa serikali? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwalimu Nyerere Foundation ni Taasisi ya Kuikosoa serikali?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by BITTY NGUZO, Nov 18, 2011.

 1. BITTY NGUZO

  BITTY NGUZO Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 33
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani hivi hii Taasisi ina kazi gani?mbona kila kukicha wao ni kuilalamikia serikali tuu.Mimi sioni wanachokifanya isipo kuwa juzi nimesikia wamezindua kitabu cha hotuba za mwalimu Nyerere.Nawashauri waende Afrika ya Kusini wakaone wenzao wa Mandela wanavyofanya kazi sio kudandia hoja ambazo haziwasaidii lolote kila kukicha utawaona wazee hawa kwenye luninga kuelezea hoja za kuikosoa serikali wakati wao walikuwa viongozi wakubwa tuu serikalini inamaana hawajaziona hizo tofauti wati huo? kwanza wote ni wazee waondoke wawaachie vijana ofisi wafanye kazi.
   
 2. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huna unachojua wewe..kwani kuna kosa gani wanapokosoa...
   
 3. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  hiyo ya kukosoa ni maoja ya objectives zao. na ukiona unaumia moyoni kwa kile wakifanyacho ujue kuna jambo wanalifanyia kazi usilopendezwa nalo. Sio lazima ukubaliane na wakisemacho wenzio tunaojua mambo jamaa wanafanya kazi kubwa tu. kama hujui jiulize kwanini makamba aliwatukana? Wa
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Most of NGOs have that built-in attitude of relentlessly fault-finding the government as if there is nothing constructive achieved by it enough to demand commendations. There is unfortunately a misleading conviction implying that in order to be deemed a staunch political campaigner you have to go against every move taken by the ruling party regardless of its pausability.
   
Loading...