Hawa jamaa wanaattack personality badala ya hoja za Tundu lisu mwiba.............. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa jamaa wanaattack personality badala ya hoja za Tundu lisu mwiba..............

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by harakat, Nov 18, 2011.

 1. harakat

  harakat JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 2,908
  Likes Received: 761
  Trophy Points: 280
  Ukiangalia bunge utajua kawamba wanachofanya 85%
  ya wabunge wa magamba ni kushambulia utu wa lisu
  badala ya hoja iliyoko mbele yao sasa angalizo nia kwamba
  hawa jamaa hawajui kwamba wanatumia fedha za walipa
  kodi wa Tanzania kukaa hapo dom.?wafanye kitu tulichowatuma
  waache blabla
   
 2. Bishop Hiluka

  Bishop Hiluka Verified User

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 12, 2011
  Messages: 4,101
  Likes Received: 1,425
  Trophy Points: 280
  Ukiona hivyo ujue wameshindwa kujibu hoja zake...
   
Loading...