Hiki ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania

Dik

JF-Expert Member
Nov 15, 2011
1,204
416
Baada ya malumbano kuhusu ni chama kipi kikuu cha upinzan tz kwa sasa,hebu watz 2pige kura hap jf!piga kura mar 1 tu!chagua chama kmj kati y hv
(a)CUF
(b)CHADEMA
(c)NCCR_MAGEUZI.
Andika jina la chama kisha rusha hp jf.mwisho wa kshrk j2 saa 6:00 mchana.mhmz na mwngn
 
chama upinzani hapo ni CUF ndio walioihenyesha CCM mpaka wakakubali kuunda serikali ya umoja wa kitaifa, chadema hao danganya toto hamna kitu wote ni CCM.
 
Cuf ndo wapinzani na ndoa yao imewaunganisha na magamba kupinga maendeleo ya tanganyika!
 
Upinzani?..... mpaka waache kuchukua posho,wasiteue viti maalum, na wakatae kupata ruzuku.
Zaidi ya hapo wote wezi tu!.
 
Baada ya malumbano kuhusu ni chama kipi kikuu cha upinzan tz kwa sasa,hebu watz 2pige kura hap jf!piga kura mar 1 tu!chagua chama kmj kati y hv
(a)CUF
(b)CHADEMA
(c)NCCR_MAGEUZI.
Andika jina la chama kisha rusha hp jf.mwisho wa kshrk j2 saa 6:00 mchana.mhmz na mwngn

Iondoe CUF, hicho ni chama twawala
 
pombe nyingine inabidi tbs wazichunguze tena.
kama unaamka unaacha akili kitandani hiyo pombe haifai.
tupige kura wewe ni wa kiume au wa kike mwisho saa saba.
 
Back
Top Bottom