CCM wajua kitakachowakuta kutoka CHADEMA! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CCM wajua kitakachowakuta kutoka CHADEMA!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ndyoko, Nov 18, 2011.

 1. ndyoko

  ndyoko JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 4,974
  Likes Received: 279
  Trophy Points: 180
  Hofu ya sasa ya ccm kwa chadema ni kutokana na ukweli kwamba hiyo 'katiba' mpya itakutana na aibu ya mwaka itakayofanikishwa na cdm na kupigiwa kura za maruhani. Kwa katiba kupitishwa kwa kura za maruhani itakuwa ni aibu kwa serikali ya magamba na wale wote waliokataa mapendekezo ya cdm
   
Loading...