Napendekeza wanaopinga mchakato wa katiba tuchukue mkondo wetu, tujiite Embe au jina lingine..

Shiefl

Senior Member
Oct 31, 2010
145
32
Nimefuatilia kwenye kipima joto wanaowaunga mkono wabunge wa Chadema kutoka nje ya Bunge wamefikia aslimia 75 na waliosema sio ni kama 24 hivi kama sikose.

Sasa tuje kwa wananchi. Imanii yangu ni kuwa wabunge wa ccm na serikali yao wataangukia pua.

Ndiyo hapo sasa tutawafumua mmoja kwa mmoja hawa mafisadi.
 
did you ever ask for the value of 'n' which leads to the kipima jotos percent response?

Kipima joto ni useless kuliko utafiti wa REDET na SYNOVATE. Dont take the kipima joto results seriously.
 
Mbona mswada huo utakuwa withdrawn leo? We subiri aibu ya wabunge wa ccm!!
 
NGOJA TUSUBIRI HADI WAZEE WENYE HESHIMA NCHI HII WAMEOMBA CHONDECHONDE CCM NA CDM WAKAE PAMOJA KUJADILIANA,cheki gazeti mwannachi la leo
 
Nawashangaa wabunge wa CCM wanataka maoni gani tena ya wananchi ndo wajue kwamba hatuwaungi mkono au wanataka maoni ya REDET inayowapendelea kila siku?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom