Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana JF Wana JF tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania. hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato wa katiba mpya inayokuja. Maadui...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Wana JF Hawa JF tunao maadui wa mswada wa Katiba mpya kwa miaka 50 inayokuja katika Taifa la Tanzania. hawa maadui tunatakiwa kuwapinga vikali katika mchakato wa katiba mpya inayokuja. Maadui...
0 Reactions
0 Replies
964 Views
Ndugu wana jopo, binadam yeyote mwenye afya akili bila kujali ni timamu au la huwa anawaza. Nimekuwa nafuatilia kwa muda mwenendo wa namna ya kuwa na katiba mpya na nimegundua kuwa mambo kadhaa...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nadhani sisi sote tumeshuhudia hotuba ya Raisi Jakaya Mrisho kikwete kwa umakini mkubwa sana na wachambuzi wengi wa masuala ya hotuba watakubaliana nami kuwa Hotuba ya Raisi imejaa hofu na lawama...
1 Reactions
7 Replies
1K Views
"We don't need JK's Commission! It will disturb the process by being malicious to the process in favour of the ruling party. ...we need first of all to amend the current Constitution especially...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Kwa nilivyofuatilia mjadala wa Muswada wa Sheria ya Tume ya Kuundwa kwa Katiba,nimepatwa na shaka kuwa huenda Katiba imeshaandikwa. Hii inatokana na Spika kuiingilia Kamati ya Kudumu ya Katiba na...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Wana JF Hawa ndiyo maadui wa mswada wa katiba mpya kwa miaka hamsini ijayo tanzania ya leo na kesho ikichafuka hawa wanapaswa kubeba dhambi hii. hawa ni pamoja na wabunge wa ccm,cuf and pamoja...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Kuna tetesi kuwa jana JK alikutana na upinzani mkubwa wa wabunge baada ya kutaka mwafaka na wapinzani kama wazee wengi walivyoshauri wabunge walimweleza wataweka wapi nyuso zao kama hautapita...
3 Reactions
36 Replies
4K Views
nionavyo jk tayari kasharidhia (kapitisha) mswada wa kuanzisha tume ya katiba uliopitishwa bungeni leo. source: hotuba ya jk kwa wazee wa dar.
0 Reactions
0 Replies
999 Views
Makamu mkuu wa SAUT ameanza kuponda bunge kwa jinsi walivyokuwa wanajadili muswada
1 Reactions
67 Replies
7K Views
1. Eti kama vipi tuzichape bungeni.......bla bla bla...... 2. Eti Kikwete ni mpole na anawavumilia wapinzani wakati ni mwanajeshi ......bla bla bla.... bora Malecela.........kuliko huyu!
0 Reactions
194 Replies
18K Views
mbunge wa longido ndugu Lekule laizer amedanganya Taifa kwa kudai kuwa alisoma kidato cha nne mwaka 1975 as a private candidate. Huu ni uhuni na ndo uhaini ambao CCM inahubiri kila kukicha...
0 Reactions
13 Replies
3K Views
Fri, Nov 18th, 2011 Fri, Nov 18th, 2011| Tanzania Tanzania Minister for Foreign Affairs and International Cooperation, Mr Bernard Membe Minister for Foreign Affairs and International...
0 Reactions
3 Replies
891 Views
Spika wa Bunge la Jamuhuri wa muungano wa Tanzania amekiri uwezo walionao wabunge wa CHADEMA. Ameyasema hayo mara baada ya kupitishwa kwa mswada wa katiba mchana huu kwa kusema kuwa, "wabunge wa...
3 Reactions
39 Replies
6K Views
  • Closed
Mheshimiwa Rais Dr Jakaya Mrisho Kikwete leo ataongea na wazee wa Dar-es-salaam kuanzia saa kumi jioni. Itarushwa live na vituo vya TV kama TBC. USIKOSEEEEEEEEEEEEEEEEE.
0 Reactions
279 Replies
22K Views
Amini usiamini mkubwa kakamatwa pabaya, ndoa wazanzibar twaivunja na Jukwaa la katiba wanataka maandamano nchi nzima, CHADEMA NA NCCR nao wako juu katiba katiba sasa mkuu wa kaya kuvunja ukimya...
0 Reactions
0 Replies
957 Views
Wana jf, naomba niwashirikishe hii makala iliyoandikwa na Majid Mjengwa na kupostiwa kwenye blog ya globalpublishers, binafsi imenigusa sana na kunifikirisha mno kuhusu taifa letu. Karibuni...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Miaka kadhaa iliyopita Kibaki alitaka kufanya hichi anachokifanya sasa Jakaya ya kuandika katiba anayoitaka yeye sasa baadae kutakiwa kuwa na kura ya maoni kuikubali au kukataa njia hii.Wapenda...
0 Reactions
29 Replies
3K Views
Muswada walioendelea kujadili wabunge wa ccm na kama si kukijadili chadema na LISSU wake ukitolewa na kusomwa kwa mara ya kwanza nani atakuwa na busara kati ya ccm na wabunge wake na chadema...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Hii imekaaje, Kiusalama au kuna nini? Kwa hali ilivyo hata ungekuwa wewe lazima ulinde Ikulu
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Back
Top Bottom