Nani wa kujitoa muhanga? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nani wa kujitoa muhanga?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mbaga Michael, Nov 18, 2011.

 1. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Sote tunafahamu mapinduzi ya kweli kule Tunisia yalianzaje, alikuwa ni kijana mmoja aliyetumia muda wake kudili na masomo akawa amehitimu mwisho wake! Hakubahatika kuhajiliwa akahamua kujiajili kwa kufanya biashara ndogondogo (machinga) ambapo alikuwa akisumbuliwa sana na Police. Alichoka akaamua kununua mafuta ya petrol na kujimwagia na kujilipua na aliacha ujumbe na watu waliupata! Maandamano yalianza! Njia sahihi watanzania 2itumie unadhani ni ipi?
   
 2. majata

  majata JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 385
  Likes Received: 54
  Trophy Points: 45
  mapinduzi uyaanze wewe kama yule kijana wa tunisia.
   
 3. FDR.Jr

  FDR.Jr JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 17, 2008
  Messages: 1,335
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  Kuna kijana aliwekkwa ndani huko mtwara kwa kosa la uzururaji amejinyonga akiwa selo.......
   
 4. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Atakuwa amechoka kuishi tu huyo lakini tukio lake halina uhusiano na harakati za mapinduzi.
   
 5. AMARIDONG

  AMARIDONG JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2011
  Joined: Jun 24, 2010
  Messages: 2,506
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 0
  Anza wewe kamanda wa kweli
   
 6. M

  Malova JF-Expert Member

  #6
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  kifo ni sure event kwa kila mmoja. lakini kufa reasonably
   
 7. Mbaga Michael

  Mbaga Michael Verified User

  #7
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 17, 2011
  Messages: 2,914
  Likes Received: 202
  Trophy Points: 160
  Mi niko tyr! Je kwa ntakaowaacha mko tyr kwa mapinduzi ya kweli katika taifa hli?
   
 8. Borakufa

  Borakufa JF-Expert Member

  #8
  Nov 18, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 1,503
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  mmmmh! unabomu? sema haraka
   
 9. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,672
  Trophy Points: 280
  Yoyote hatakae kuwa tayari kujitoa muhanga hasiwe na wasiwasi familia yake taipatia maitaji yote haswa mke wake!
   
 10. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  marekebisho

  .kuhajiliwa=kuajiriwa
  .kuhamua=kuamua
  .2itumie=???!!!.
   
 11. Mzee

  Mzee JF-Expert Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 12,970
  Likes Received: 2,965
  Trophy Points: 280
  Unaweza kuwa hata wewe kama unaona inafaa.

  Nakutakia kila la kheri ktk maamuzi yako.
   
 12. M

  Makamuzi JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 3, 2011
  Messages: 1,157
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 133
  Wewe c ndo wale wanaocameruniwa kwenye masaburi?hizo nguvu umezipata wapi?
   
 13. mkonomtupu

  mkonomtupu JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Jul 5, 2011
  Messages: 445
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 35
  Samahani Mkuu, huwa sipendi hiki na kwako itakuwa mtu wa kwanza lakini naomba niwie radhi.
  Ni kuajiriwa na sio kuajiliwa na ni kujiajiri na sio kujiajili. Maneno hayo asili yake ni neno Ajira.
  Shukran.
   
Loading...