Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mh Kafulila ana hoja nzito, aungwe mkono

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by ibange, Nov 17, 2011.

 1. i

  ibange JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Nimemsikia Mh Kafulila akihojiwa BBC akisema tuwe na a parallel process ya kutengeneza katiba mbadala. Ni obvious ya kwetu itakuwa nzuri zaidi kwa hiyo ni kwenda kuipinga ya kwao bungeni na pia kuipinga kwenye referandum.

  Mimi nina hakika tukipiga kampeni ya nguvu kuhakikisha watu wote wanajiandikisha na kwenda kupiga kura tutaizuia katiba isipite. Tukifanikiwa itakuwa pigo kubwa kwa CCM na dalili za kushindwa 2015.

  Kampeni ya kupinga katiba itakuwa ndio kampeni ya urais. Nashauri chadema izungumze na akina kafulila ili kuwapa nafasi kwenye serikali kivuli maana wamedhihirisha kuwa ni wapinzani.
   
 2. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Mkuu chini ya NEC hii ya kina Kilavu, mbona hatutoweza kitu? Mabingwa wa kuchakachua, hata maajab mapya7 duniani ingefanya NEC, mbona mt. Kilimanjaro ungekuwa wa kwanza? Mabingwa wa kuchakachua. Mwaka jana Slaa kashinda ndio ikawa hvyo mara TISS karatas fake. Anyway l behind on that movement
   
 3. C

  Cipro Senior Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 8, 2011
  Messages: 159
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  wazo zuri ila sioni kama linatekelezeka hapa kwetu tz.
   
 4. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,893
  Likes Received: 5,346
  Trophy Points: 280
  i don't know what to believe anymore!mara bunge la katiba,mara bunge maalum,..tuelimisheni basi maana ya hayo maneno in layman's terms,ila kitu kimoja nina uhakika nacho ni kuwa NEC ya kiravu ikisimamia kura ya maoni yatachakachuliwa., period...
   
 5. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Tatizo kubwa ni kuwa upande mwingine wa wabunge hawaoni, hawasikii, hawambiliki, hawashawiki ndiyo kwanza wanakazana kuwabeleza watu ambao muungano hawautaki wana nchi yao na katiba yao Eti tuwe pasu pasu kwenye maamuzi ya kuunda katiba
   
 6. Jackbauer

  Jackbauer JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2010
  Messages: 5,920
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  do you think there is fairness in tanzania?
   
 7. Mwita25

  Mwita25 JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 3,840
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 0
  Kafulila is foolish by talking about parallel approach of composing a new constitution while the assembly is dominated chiefly by CCM's parlimentarians. Unless he has an alternative means to sanction his methodology, I do not see any possibility of convincing CCM MPs to ratify his approach inside the house.
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kama mlimsikia CHENGE bungeni na kama ccm watafuata ushauri wake (nahisi wataufata) ni kwamba Rais atateu majina ya watu wanaokubalika kwa jamii ili waongoze tume ya kukusanya maoni.
   
 9. February

  February Member

  #9
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 90
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  Kama nimemsikia vizuri mh kafulila ni kwamba utaratibu huo wa wanaharakati ndani na nje ya siasa kuunganisha nguvu kuanzisha mchakato sambamba na ule wa serikali amependekeza ufanyike kama spika na serikali wataendelea kushikilia msimamo wao wa kukataa mswada usisome mara ya kwanza.

  Hasara za pendekezo hili ni kwamba litachochea vurugu na fujo katika mchakato mzima na itakuwa ngumu kufikia malengo labda kama kuna ajenda za siri. Lakin nijuavyo mimi bado tunayo nafasi ya kusikilizana kama taifa na tusijaribbu kutengeneza mfano mbaya nchini kwetu.

  Tujipe muda tusikie JK ata amua nini.
   
 10. S

  Shiefl Senior Member

  #10
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 145
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hakuna cha kuleta vurugu hatuna haja ya kuendelea kukaa na mjadala wa kishenzi. Napendekeza na sisi tuwe na kazi yetu.

  Take my point.... CCM wanakufa na hii katiba yao
   
 11. E

  Ernest Messa New Member

  #11
  Nov 18, 2011
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mambo mengi sana wapinzani walisha shauri, ccm kwa kuwa ni wengi na wanapalilia kitumbua chao walipinga. sasa katika hili la katiba mpya wanatakiwa waweke ushabiki pembeni na kufanya mambo kwa busara zaidi kwa maslahi ya Tz ijayo.
   
 12. Relief

  Relief JF-Expert Member

  #12
  Nov 18, 2011
  Joined: Aug 6, 2010
  Messages: 255
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ndugu yangu uliyosema ni sahihi na watanzania wengi yanawachanganya, ufafanuzi wa juu ya nini ni nini kwakweli ni muhimu ili kuwafanya wananchi waweze kuelewe lipi linalopiganiwa na wanaharakati hapa na kuondokana na fikra potofu za magamba.
   
 13. M

  Malova JF-Expert Member

  #13
  Nov 18, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Uko sawa kabisa mkuu
   
 14. i

  ibange JF-Expert Member

  #14
  Nov 18, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Hizo lugha za ki ccm kuwa serikali ni sikivu nazichukia sana
   
 15. S

  SIXPLANET Member

  #15
  Nov 18, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 76
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mpaka sasa tulipo fika tayari mchakato umevurugwa. Kwasababu jukwaa la katiba nao wanamchakato wao, kwahiyo hakuna katiba hapo.

  Naujue watu walidai katiba baada ya kuona ccm inachakachua matokeo. Kwahiyo lazima wa monopolize mchakato ili katiba mpya ipatikane na wao waendelee kubaki madarakani.
   
 16. TECHMAN

  TECHMAN JF-Expert Member

  #16
  Nov 18, 2011
  Joined: May 20, 2011
  Messages: 2,677
  Likes Received: 162
  Trophy Points: 160
  Mulika mwizi, I said before, the only way to defeat CCM in election, is on the KATIBA MPYA. even CCM know this, that is why they are not ready for the changes that will change them.

  Nobody can give you freedom. Nobody can give you equality or justice or anything. If you're a man, you take it.
  Malcolm X

  If you're not ready to die for it, put the word 'freedom' out of your vocabulary.
  Malcolm X

  The future belongs to those who prepare for it today.
  Malcolm X

  You can't separate peace from freedom because no one can be at peace unless he has his freedom.
  Malcolm X

  You don't have to be a man to fight for freedom. All you have to do is to be an intelligent human being.
  Malcolm X
   
 17. Safari_ni_Safari

  Safari_ni_Safari JF-Expert Member

  #17
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 22,445
  Likes Received: 5,831
  Trophy Points: 280
  See how our nemesis up north did.....

  The Constitution of Kenya was the final document resulting from the revision of the Harmonized draft constitution of Kenya written by the Committee of Experts initially released to the public on November 17, 2009 so that the public could debate the document and then parliament could decide whether to subject it to a referendum in June 2010. The public was given 30 days to scrutinize the draft and forward proposals and amendments to their respective Members of Parliament, after which a revised draft was presented to the Parliamentary Committee on January 8, 2010.

  The Parliamentary Select Committee (PSC) revised the draft and returned the draft to the Committee of Experts who published a Proposed Constitution on February 23, 2010 that was presented to Parliament for final amendments if necessary. After failing to incorporate over 150 amendments to the proposed constitution, parliament unanimously approved the proposed constitution on April 1, 2010. The proposed constitution was presented to the Attorney General of Kenya on April 7, 2010, officially published on May 6, 2010, and was subjected to a referendum on August 4, 2010.The new Constitution was approved by 67% of Kenyan voters.

  Its so plain for all to see save for CCM nicampoons
   
 18. only83

  only83 JF-Expert Member

  #18
  Nov 18, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,252
  Likes Received: 444
  Trophy Points: 180

  Yah!! Na mie nimemkubali huyu jamaa,good idea....
   
Loading...