CUF ni chama cha upinzani? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

CUF ni chama cha upinzani?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Dik, Nov 17, 2011.

 1. D

  Dik JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 15, 2011
  Messages: 1,205
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Chma cha CUF ni chama kilchotokea kuw maarufu sn tz! Hivi sasa tumeshuhudia unafiki mkubwa wa wabunge wake kukishambulia chama kikuu cha upinzan cdm!prof lipumba amepotea kisiasa,hata hasikiki tena.ni chama kilchokuw kinadai pia maandamano kutetea maslah y taifa.

  Je watz wameshapata haki zao? Au maslahi yalikuwa ya kina Sharif Hamad! Je bado ni chama cha upinzani Au cha kinafiki?

  Niendelee kubaki CUF?
   
 2. njiwa

  njiwa JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 16, 2009
  Messages: 11,074
  Likes Received: 1,811
  Trophy Points: 280
  hebu nipe definition yako ya chama cha upinzani ..??

  je kutokubaliana na CDM kina wafanya wasiwe wapinzani ...??

  ama true defn. yako ya upinzani ni kukosoa kila lile linalosemwa na kufanya na serikali ....? CUF ni chama makini ndio maana wakakubali mseto wa serikali ili kuepusha vurugu kule znz kama za miaka iliyopita kwani zilikuwa hazina tija yoyote zaidi ya VIFO tu....
   
 3. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  unafiki utakumaliza. upinzani wa cdm uko wapi. au vurugu hizo
   
 4. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,985
  Likes Received: 441
  Trophy Points: 180
  Wachumba wa CCM hao!
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,299
  Likes Received: 22,082
  Trophy Points: 280
  sio kweli bwana, wacha kuupotosha uma na kukidhalilisha chama cha CUF.

  CUF NI MKE HALALI WA NDOA WA CCM
   
 6. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,057
  Trophy Points: 280
  Mkuu heshima. Hapo kwenye red; Inategemea huo umaarufu ulikuwa wa nini, aina gani, na ulipatikanaje? Umaarufu wa kutetea wananchi wote bila kujali itikadi, mtazamo, au mafungamano? Umaarufu kwa hoja yakinifu na jadidi? Umaarufu through violence na kashfa kwa wananchi "wengine" wasiofungamana na itikadi fulani fulani? Au ni umaarufu wa aina gani?

  Akihojiwa na BBC, Katibu Mkuu alishawahi kuulizwa inakuwaje wafuasi wa CUF ni watu wa aina fulani fulani tu? Naye wala hakupinga bali alijibu, kama watu wa "aina fulani" pekee wameamua kuwa wafuasi wa CUF yeye afanyeje?

  Kumbe Maalim Seif, na viongozi wenzake bila shaka, walijua fika kuwa CUF ilikuwa "inapendwa" na watu fulani na kwa wakati huo ndio waliokifanya chama kuwa "maarufu"; umaarufu wa aina hii ni wa kitambo tu, wala haudumu. Hivyo, usishangae kwa nini CUF sio maarufu kwa wakati huu!

  Sasa suala lisilojibiwa au linalohitaji utafiti ni hili: ni kwani wafuasi wa CUF ni watu wa aina fulani tu? Jibu hili litamsaidia, si Maalim Seif tu, bali umma wote wa watanzania.
   
 7. T

  Topical JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ukitumia neno mke na mume kwenye siasa utakosea mkuu..

  Kila chama kuna siku itafika wananchi watawalazimisha kushirikiana..(kuoana)???

  Iko siku hata si nyingi chadema itakubali kuolewa (kuoana) either na ccm au CUF sasa sijui siku hiyo utasemaje?

  Tuwe waangalifu na maneno hayo ya kijinga na kishabiki
   
 8. T

  Topical JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  mimi nina uhakika wafuasi wengi wa chadema ni aina fulani na kanda fulani

  Na viongozi wengi wa chadema wamesoma seminary za kikatoliki

  Sasa chadema ifanyeje????
   
 9. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  umenifurahisha sana mkuu jamaa anapotosha wakati watu wanavyeti kabisaa vya ndoa!
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  CDM kikikubali ndoa itakuwa kipindi hicho but kwa sasa kipo single, na CUF ipo kwenye ndoa tu wala usikimbie!
   
 11. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,057
  Trophy Points: 280
  Exactly Mkuu! Naheshimu mawazo yako kwa 100%. Hakika kama ndivyo CHADEMA ilivyo, kama ilivyokuwa kwa CUF, nayo itakufa kifo cha kawaida siku si nyingi. Kumbuka jambo haliwi kweli kwa kuwa tu fulani kasema; bali uhalisia wenyewe ni shuhuda mzuri zaidi. Kusema tu chama fulani, kwa mfano ni cha kikabila, kidini, n.k. yeyote aweza kuropoka kwa kuwa ana mdomo na ni haki yake kusema. Kama CHADEMA ni kweli kiko hivyo basi wananchi walio wengi wataamua bila kuhitaji "kujazwa ujinga" na kundi fulani la watu iwe ni wanasiasa au viongozi fulani wachache katika jamii.

  Hebu nikuulize, hivi CCM inavyotajwa kuwa chama cha kifisadi ni cha kifisadi kwa kuwa baadhi ya watu wameropoka hivyo au kwa kuwa kwa uhalisia kiko hivyo na wananchi walio wengi wanaona na kushuhudia hivyo na pia kinajihukumu chenyewe kwa matendo yake? Changanya na zako.
   
 12. T

  Topical JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Ndio maana nasema kishabiki na single OK

  Lakini kisiasa muda si mrefu chadema wanaweza kuolewa na chama chochote popote..either kwa kulazimishwa na wananchi kama walivyofanywa CUF na CCM zanzibar (hakuna anayependa hayo kati ya ccm na CUF lakini inabidi)

  CDM kwa sasa mnafanya ushabiki tu lakini nakwambia MTAOMBA KUOLEWA na siku hiyo kama JF ipo ntawakumbusha lol..
   
 13. T

  Topical JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  CCM ni mafisadi huo ndio ukweli kwasababu wanachama wake wengi ni viongozi na ni wanaongoza vibaya (ufisadi) na kusababisha hasara kwa taifa..

  Hilo mbona hakuna anayebisha isipokuwa kuna reservations nyingi sana ukiangalia ccm na vyama vingine kwa mambo yanayohusu wananchi na taifa..sijaona mbadala zaidi ya vyama vinavyoshabikia makundi (fulani) na siyo umoja wa kitaifa..
   
 14. Nyamburi

  Nyamburi JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 28, 2011
  Messages: 306
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  kwa mtu mwenye fikra nyepesi kama yako hiyo ni sahihi kabisa,ila kwa mtu mwenye uwezo hata kidogo tu kifikra si sahihi bali ni uvivu wa kufikiri,viongozi gani wa cdm waliosoma seminary zaid ya dr slaa (phd)?na unaposema chama ni cha kanda fulani,ina maana mbeya,iringa,kigoma,mwanza,musoma zote ni kanda moja?usiwe mvivu wa kufikiri
   
 15. dudus

  dudus JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 28, 2011
  Messages: 7,757
  Likes Received: 6,057
  Trophy Points: 280
  Safi! Umeanza kufunguka sasa. Kama ilivyo kwa ufisadi wa CCM, hebu tuwaachie wanananchi waamue wenyewe kuhusu "ukabila" na "udini" wa Chadema badala ya taasisi nyingine kama Bakwatwa kufanya kazi zisizokuwa zao au zilizo kinyume na malengo ya kuanzishwa kwake.
   
 16. T

  Topical JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Dec 3, 2010
  Messages: 5,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Exactly, kwanini isiwaachia CUF na wananchi wa zanzibar na watanganyika waamue kama ni wapinzani au la? wameolewa au la?

  Taasisi kama TEC na maaskofu vilevile waache kutoa waraka kuwaelekeza waumini wapige kura mgombea fulani..hapo ndio wananchi wataamua kwa haki..bila ...
   
 17. Chatumkali

  Chatumkali JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2011
  Messages: 2,045
  Likes Received: 89
  Trophy Points: 145
  Kiukweli CUF kimepoteza mwelekeo!Huo ndio ukweli hata kama wengine unatuuma sana..
   
 18. T

  Tewe JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Jan 11, 2008
  Messages: 744
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 60
  Nilikuwa sikubaliani na anayesema wewe ni nvivu wa kufikiri ila nimeani ni kweli, walaka uliosema waumini wamchague fulani ulitolewa lini? Na ulitolewa na taasisi gani? Na huyo fulani ni nani?
   
 19. mchemsho

  mchemsho JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 8, 2011
  Messages: 3,158
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  Popo ni ndege?=cuf ni chama cha upinzani??
   
 20. Power G

  Power G JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Apr 20, 2011
  Messages: 3,911
  Likes Received: 88
  Trophy Points: 145
  Mkuu nadhani ingekuwa sahihi kama ungeongezea kwamba; Njaa ya Seif na Vibaraka wake ndiyo iliyochangia Cuf ku-Cameroniwa na ccm. Baada ya kuwekwa ndani sasa hivi kimyaaaaaaaaaaa.
   
Loading...