Wazanzibar mnautaka Muungano Bungeni tu? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wazanzibar mnautaka Muungano Bungeni tu?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Albedo, Nov 17, 2011.

 1. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #1
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Wazanzibar hawajui wanalolitaka, Bungeni wanautaka Muungano, Mtaani hawautaki Muungano. Hizi ni Tabia za Popo, Si Ndege wala si Mnyama

  Wazanzibar kuweni na Msimamo
   
 2. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #2
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Mkuu Albedo kwa kweli umepatia hakuna jinsi ya kudifine tabia ya wazanzibar zaidi ya kuwafananisha na popo. Mara wamepeleka barua ya kupinga muungano UN...mara wabunge wao wanapigania Muungano...mara wao wenyewe wanaandaa maandamano ya kupinga muungano. Kwa kweli Wazanzibar wana tabia za popo pure!
   
 3. Maganga Mkweli

  Maganga Mkweli JF-Expert Member

  #3
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 14, 2009
  Messages: 2,096
  Likes Received: 70
  Trophy Points: 145
  mtanisemehe bure ila ni ukweli usiofichika siku zinahesabika kuvunjIKA KWA HUU muungano
  la kuvunda halina ubani muuda ndio utakawao wamaambia
  tunabembelezana kwenye mapenzi tu .........kwenye masilahi ya taifa big NO....
  SAY NO KWA MUUNGANO USIO NA TIJA
   
 4. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #4
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Wabunge wa Zanzibar ni wanafiki sana huwa wanapenda kutumia migongo ya wananchi hasa misikiti kufanikisha malengo yao huku wao wakijipendekeza machoni waonekane wazuri.
   
 5. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #5
  Nov 17, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  Aisee wale wabunge wa CUF mdebwedo mtupu! nadhani wanauchungu wakuwa overtaken na CHADEMA maana wao sasa wameolewa na CCM
   
 6. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #6
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  Haaaaaaa mtu akiolewa si lazima apigwe dudu?
   
 7. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #7
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Inawezekana kabisa wanasiasa wa Wazanzibar wananufaika zaidi na Muungano kuliko Wananchi wao. Yawezekana ikawaa POSHO za bunge la JMT ni kubwa kuliko za Baraza la Wawakilishi, kwamba Wanasiasa wa Zanzibar hawako tayari kuipoteza FURSA hiyo. Najua kuna Wazenj humu naomba watueleze hizi Tabia za KIPOPO Mpaka lini?
   
 8. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #8
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Mwanzoni ni wao walianza chokochoko za Muungano na hata bungeni waliwahi kuyasemea..Sasa leo kisa Chadema kaweka wazi inakuwa Sababu....Saburi pevu la mwisho....Fungukeni wa znz muwe na msimamo..tunawaona na tunawaelewa...
   
 9. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #9
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  No wonder hata popobawa alianzia Zenj
   
 10. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #10
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Unasema kweli, nakumbuka CUF sera yao kuu ilikuwa kudai serikali ya Tanganyika au serikali tatu sasa kwa vile wamezidiwa sauti na Chadema wanaona nongwa, mimi huwa sina neno zuri la kuwa-describe zaidi ya kuwaita wanafiki.
   
 11. fige

  fige JF-Expert Member

  #11
  Nov 17, 2011
  Joined: Jul 4, 2010
  Messages: 376
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Naomba kuuliza wakuu,hivi wale wabunge wa Zenji kule kwao wanaingia kwenye lile baraza lao ?Kama hawaingii kule na hawalipwi na hilo baraza,lazima watetee unga tehe tehe tehe
  Si mnajua tena, wanasiasa wetu wapo kwa ajili ya masilahi.Ndio maana ukisikia mwafaka ujue ni wa kugawana masilahi wala si kumaliza tofauti.Kama mtu anabisha amuulize seif
   
 12. Mkirua

  Mkirua JF-Expert Member

  #12
  Nov 17, 2011
  Joined: Sep 9, 2010
  Messages: 5,667
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  Wanatuchora tu wabara.... Mimi nawaona kama magavana wanaotoka kwenye nchi yao kuja kutunga sheria kwenye nchi nyingine na kutawala pia.... Katiba yao walishamaliza sasa wanatupangia maslahi yao kwenye katiba yetu....... ama kweli wajinga ndio tuliwao....
   
 13. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #13
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  CDM wanapendekeza kwamba kiwepo kipengele cha wananchi kuamua kama wanautaka Muungano, na Kama wanautaka uwe wa Namna Gani. Sasa nawashangaa Wazanzibar wanaolipwa Posho na Serikali ya Tanganyika badala ya kuunga mkono wanatoa Mipasho

  Wabunge wa Zanzibar wamewasaliti wananchi wao na Inatakiwa wazanzibar waoneshe Hasira zao kwa Kuwazomea
   
 14. Sniper

  Sniper JF-Expert Member

  #14
  Nov 17, 2011
  Joined: Mar 8, 2008
  Messages: 1,944
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  kuna wazanzibari wapo facebook wanaka group kao ka kupinga muungano, wamesha design na bendera yao ya Zanzibar
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Nov 17, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,322
  Likes Received: 19,494
  Trophy Points: 280
  Wananchi wengi ni mazuzu
   
 16. Daffi

  Daffi JF-Expert Member

  #16
  Nov 17, 2011
  Joined: Jun 25, 2011
  Messages: 3,803
  Likes Received: 178
  Trophy Points: 160
  Hata na hivyo,wanapata /pewa dudu la nguvu!haki ya ndoa lazima itimizwe
   
 17. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #17
  Nov 17, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  pumbavu zao tu hawana lolote
   
 18. Opaque

  Opaque JF-Expert Member

  #18
  Nov 17, 2011
  Joined: Oct 24, 2008
  Messages: 1,138
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 135
  Wanasubiri wabara watakachosema, nao wapinge. Sasa hivi wabara wamegawanyika, nao wamelazimika kugawanyika!
   
 19. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #19
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135

  Wameambiwa kila kitu ni Lazima kwanza Rais wa Zanzibar akubaliane wamefuraaaaaaaaaaaahi kiasi kwamba wamesahau Kilio cha walio watuma
   
 20. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #20
  Nov 17, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Wakina Hamad Rashid na wenzake ni mojawapo ya Wazanzibar wanaopata posho nono za JMT; wenzao kwenye bunge la wawakilishi hawapati fursa hiyo. Ndio kusema mioyo yao inakataa muungano lakini mdomoni ni watu wa tamaa ya posho. Maana mafao wanayoyapata kwenye bunge la JMT Zanzibar hayapo.
   
Loading...