JK kumuokoa Jairo na Luhanjo?

Manyanyaso

Member
Dec 14, 2009
7
1
Raisi JK ameingia Dodoma kwa ndege asubuhi ya leo. Kwa muda huu inasemekana yupo ktk kikao na wabunge wote wa CCM ktk ukumbi wa Pius Msekwa.

Moja ya ajenda ya kikao hicho ni kushinikiza wabunge wote wa CCM wawe kitu kimoja hapo kesho ktk kuchangia ripoti ya tume iliyochunguza sakata la Jairo. Riport ya Jairo inategemewa kujadiliwa kesho Bungeni baada ya kipindi cha maswali na majibu.

===========
UPDATES

Kamati ya Bunge ilioundwa kuchunguza tuhuma za rushwa katika sekta ya nishati na madini inayo mkabili bwana Jairo imesha wasilishwa mezani kwa Spika. Sasa hivi bado wanaendelea na maswali na majibu.mia
 
Kama kipaumbele chake ni kumuokoa jairo na sio hii dhoruba ya mswada wa katiba mpya ambayo inaweza ikamkumba hata na yeye akaondoka. Basi na sema huyu atakuwa rais wa ajabu kabisa duniani.

Mwezi huu utatoa mambo mengi sana, maana kikao cha NEC hakipo mbali, ripoti ya Jairo ndiyo kesho. Kama rais inabidi aonyeshe uwezo.
 
unang'ang'aniaje mzigo mzito kwenye bahari yenye mawimbi makali kama si kutaka nawe kuzama nayo?we will see how th movie ends hiyo kesho au ****** atarefusha kuwa na part 2 yake
 
(Kama ni kweli lakini) basi naungana na mchangiaji mmoja pale juu kwamba huyu atakuwa ni rais wa ajabu sana hapa duniani.
 
JK will never afford to let his long time confidant leave his current position and replace him by another. He will do whatever in his power to make sure that Jairo survives his graft scandal and thereby continue with his post. Jairo played a major role in the last elections including communicating with security organs to rig ballots in favour of JK and help the latter to sweep back into presidency. CCM are therefore reciprocating by frantically struggling to cover up certain evidences from the Kabwizi report in order to save Jairo's boat from sinking. As I speak there is ongoing concealed meeting taking place in Dodoma Hotel chaired by JK with Jairo issue as the top agenda of it.
 
Ndugu zangu tusiangaike na issues ndogo kama za Jairo na Luhanjo jambo muhimu wakati huu ni mchakato wa kuandika katiba mpya. Hii mambo ya Jairo ni ndogo sana,kwanza Pinda na Jk wangekua makini wangekwisha maliza hii maneno ya Jairo siku nyingi. Nchi yetu ni ya ajabu sana,bunge linashupalia issue ndogo kama ya Jairo wanashindwa kushupalia jambo nyeti kama mchakato wa katiba mpya ambao kama tunapata katiba nzuri kesi za akina Jairo tutazipunguza sana.
 
Kesho ndo kesho.Kungekua kunasehemu ya kupost comments through sms then zikawa zinapita kwenye screen,watu wangetoa mengi sana yaliyo mioyoni ili wengine waone
 
If our fellow mwita is seeing this the way he has put, Basi mimi nasema FREEDOM IS COMING TOMORROW!!!
 
Atakuwa rais mpumbavu kiasi gani kushughulikia issue ya Jairo na kuacha issue ya katiba.
 
JK will never afford to let his long time confidant leave his current position and replace him by another. He will do whatever in his power to make sure that Jairo survives his graft scandal and thereby continue with his post. Jairo played a major role in the last elections including communicating with security organs to rig ballots in favour of JK and help the latter to sweep back into presidency. CCM are therefore reciprocating by frantically struggling to cover up certain evidences from the Kabwizi report in order to save Jairo's boat from sinking. As I speak there is ongoing concealed meeting taking place in Dodoma Hotel chaired by JK with Jairo issue as the top agenda of it.
Loh!! ambao hatujasoma St. Something tunakazi!!.
 
Back
Top Bottom