Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

WanaJF, Kitendo cha mheshimiwa mama Makinda kumjibu waziri Mkulo kuwa mh. waziri hayo siyo majibu huku akiwa na uso unaonesha kuwa amekasirishwa na majib fake kimepokelewa tofauti na watu...
2 Reactions
7 Replies
2K Views
Habari imeeleza kuwa yeyote atakaye tangaza kugombea ubunge jimbo la shinyanga mjini hatari ipo mbele yake, hii inatokana na mmliki wa Jimbo hilo Mh steiven Masele kujipanga kuhakikisha ana...
0 Reactions
65 Replies
10K Views
Naibu Waziri Fedha akijibu swali Bungeni leo,alisifia mafanikio ya Ubinafsishaji.Mh. Zito akauliza swali la nyongeza na kusema anasikitishwa na Serikali kusifia mafanikio ya ubinafsishaji na kutoa...
6 Reactions
109 Replies
12K Views
KESI YA TUNDU LISSU CCM WAZIDI KUJICHANGANYA. SHAHIDI:23. SHAHIDI Stephen Jude, 37, Anaishi Dar, Tabata. Mtaalamu wa ICT, and information and communication technology. Elimu yake ni ICT-Higher...
6 Reactions
39 Replies
4K Views
Tangu nimeanza kuijua na kuifuatilia siasa ya Tanzania na tangu nimemjua japo kidogo JAKAYA KIKWETE,haya ni baadhi ya maswali ambayo ningependa ayajibu kiukweli na kiuhalisia wala sio kisiasa...
3 Reactions
58 Replies
5K Views
Kama sijakosea mashahidi upande wa utetezi walikuwa 4 na upande wa walalamikaji 13. Sipati picha kama hao 13 wanasema Lema alisema maneno ya matusi na kudhalilisha wakati hao 4 wanasema hakufanya...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Katika katiba ijayo wananchi wapewe haki ya kumiliki ardhi na kuitumia kama mtaji wa kujipatia hisa katika uwekezaji pale wawekezaji wanapotaka kuitumia ardhi hiyo. Hii itawawezesha wananchi kuwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwakyembe live bungeni
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Joshua Nasari hayupo bungeni leo kuapishwa.... Hapana mkuu, ataapishwa kesho kutwa. Kulikuwa na kutoelewana baina ya viongozi wa Chadema waliopo hapa Dodoma na Uongozi wa bunge. Chadema...
0 Reactions
201 Replies
19K Views
kutoa salam za rambi rambi kwa msanii maarufu kanumba sio nongwa lakini swali kama hizo rambi rambi tangu anze kutoa wakati wa utawala wake, je hakijafika kiwango cha kuwalipa wastaafu wa jumuiya...
0 Reactions
101 Replies
11K Views
Nashukuru kumwona huyu Mh. Akiwa na sia iliyo nzuri kabisa akiwakilisha wizara yake. Amenyoa upara na kwa kweli Mungu ni Mwema na anaweza. Amewashukuru watanzania wote wa dini zote kwa maombi yenu...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Teh teh--- Nyumbani kwa baba hapaaminiki ee!
3 Reactions
72 Replies
9K Views
Akifungua tawi la mashine tatu iringa mjini mara baada ya kuwasili. Katika mapokezi haya ambayo wakazi wa iringa wali yaandaa, mhe. Msigwa aliwezafungua matawi mawili ya chama ikiwemo...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
...mimi si kiongozi wa CHADEMA ila ni mwanachama wake mpya, lakini nataka kufanya mikutano ya hadhara kwetu Tabora kukitangaza chama (tarafa za Kitunda na Kipili na maeneo ya Chabutwa na Mpombwe)...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Asha-Rose Migiro, 50, becomes the first black woman and first African to hold the position of deputy UN secretary-general, a post created in 1998. When she made history last year, becoming...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Kesi ya Mhe. Tundu Lisu itaendelea kuunguruma leo kwa upande wa walalamikiwa(TL) kuanza kutoa utetezi. Inasemekana kuwa Mhe. Tundu Lisu atatumia ushahidi wa Shahidi namba 23 aliyetoka Dar kwa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kinatoa taarifa kwamba maoni binafsi ya viongozi na wanachama wasiokuwa na mamlaka kwa mujibu wa katiba, kanuni na itifaki ya chama kuwa wasemaji wakuu...
36 Reactions
230 Replies
15K Views
Kuna hil swala mie sioni kama limekaa vizuri na lina tija mbele ya watanzania ambao tunahitaji maendeleo na mustakabali wa nchi yetu. Tunafahamu kila chama cha siasa kina msemaje wake kwa mambo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hello Yahya, leo nilichangia kidogo katika kipindi chako ulichokua unatizama namna vyombo vya habari vilireport uchaguzi wa arumeru. sina shida sana na namna vyombo vya habari vinareport...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
0 Reactions
102 Replies
26K Views
Back
Top Bottom