Inaogopesha sana kama si kushangaza bunge kusimama dk 1 kumkumbuka kanumba,wakati kuna IGP,ambaye kiutendaji yeye alikuwa kiranja wa police,hajatajwa hata kidogo huu ni uhuni.na tbc 1 inaonyesha...
leo kuna mbunge aliuliza swali bungeni akitaka kujua vigezo vinavyotumika kuwepo kwa tofauti kubwa ya mishahara miongoni mwa watumishi wa umma ktk kada tofauti.
Swali hili lilielekezwa kwa...
Kwa tarifa nilizozipata leo Mzee warioba huenda akateuliwa na Rais Kuwa mwenyekiti wa tume ya kusimamia maoni ya katiba, tume hiyo itatauliwa siku chache zijazo.
...(na Peter Serukamba ambae namfahamu kuliko anavyojifahamu kwa kuwa nimefanya nae kazi TANROADS japo sina uhakika kama huwa anatembelea JF), naomba mnijibu swali langu:
Mtanzania maskini...
kama wa kristo wangekuwa 23 kama walivyo waislam kwenye tume ,kwa vyovyote vile upande wa pili ungeanza kuibua malalamiko .lakini hata hivyo jakaya kikwete kama amunda tume hiyo kwa kuwa komoa...
jana gazati la Nipashe liliandika kuwa leo jumatatu mtafanya mchakato wa kupata wagombea wenu. Mpaka sasa hatujasikia kilichojiri. CDM makao makuu mnaweza kutupa kilichojiri au zoezi...
Wanajf,
Mheshimiwa Kikwete wakati anaingia madarakani, kulikuwa na mpango wa mabilioni ya Kikwete ambapo alielekeza the so called mabilioni kwa kuwakopesha wachuuzi! Hivi sijui tathmini yake...
Nilivyosikia hotuba yake nilidhani off air ya ZE KOMEDY,! kiukweli hata wao maadili hayawaruhusu kutukana hadharani!... Kwa upande wangu, naona kabisa huyu bwana LUSINDE hafai kuwa kiongozi wa...
na Nasra Abdallah
WAZIRI wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu na Bunge), William Lukuvi, amemuomba mchungaji kiongozi wa Kanisa la Saa za Ufufuo wa Uzima, Josephat Gwajima, kumuombea...
Inaonyecha ni kiasi gani watanzania wengi tulivyo wavivu wa kifikiri, hasa pale tunapo tuma posti hapa jf kwa lengo la kumchafua mbunge mmoja na kuwaacha wengine.ni kweli leo Nassari hakufika...
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kiliwahi kuwa tishio kwa wananchi. Kwamba ukitaja chama hicho basi watu wanatetemeka.Arumeru Mashariki na kata kadha wa kadha nchini zimeonesha mara moja na daima kuwa...
Watanzania baada ya miaka 50 wamechoka na kasi ndogo ya maendeleo ya taifa lao. Ukiachilia mbali matatizo sugu ya afya na elimu, miundo mbinu isiyokidhi haja, kuzidi kuongezeka kwa tofauti ya...
Nimekuwa nikitafakari mpaka nimefikia hatuaya kuliandika hili. Mara nyingi, hususani kwenye chaguzi ndogo, unakuta wazirikwa kuwa ni mtu wa chama tawala, CCM, anakwenda kwenye kampeni na kutoa...
jamani ewura mpaka sasa ni mwez bei za mafuta ni zilezile hazija shuka,na ahadi zenu watanzania wanazisikiliza na kuzifatilia,tupeni majibu au na nishati ni siasa?
Wapi Pasco??wapi yule aliyetueleza kwamba Mzee Lowasa yupo German mzima wa afya!!
CDM kweli kiboko yao.Naamini mpaka 2014,huyu Mzee kama akigombea urais atakuwa na uwakika wa kula za Monduli tu.
MWENYEKITI wa Chadema, Freeman Mbowe, amedai kwamba chama chake kimebaini mpango wa CCM kutaka kukidhoofisha chama hicho bungeni na kuelekea Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015.
Akizungumza katika...
naomba sana msaada kutoka kwa wabunge kutuulizia bungeni swali lifuatalo kuhusu mtumishi wa serikali au waziri kuacha ofisi ya wananchi na kwenda kufanya kampeni kwa mwezi mzima je huwa anachukua...
Hakuna kumung'unya maneno,kama kweli maneno ya m/kiti wa PAC ndivyo yalivyo,ya kutumia fedha nje ya budget iliyopitishwa na bunge ni UFISADI MKUBWA ambao mh.CHEYO alitakiwa kuwa mkali mithili ya...
huyu jamaa mwenye cheo cha uhazini wa chama cha magamba kila nimuonapo ana skafu ya bendera ya taifa wakati ana mambo ya ajabu kama nini naombeni mnisaidie mimi ni mgeni na simuelewi huyu jamaa ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.