Nini kimempata Nassari? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nini kimempata Nassari?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Amavubi, Apr 10, 2012.

 1. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Joshua Nasari hayupo bungeni leo kuapishwa....

   
 2. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Hata Mwenzie hayupo
   
 3. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  Spika hana sababu ya kutokuwepo kwa wabunge hao wawili lakini ametoa mwongozo kwamba kamati ya uongozi itapanga tarehe nyingine ya kuwaapisha
   
 4. M

  Molemo JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hii sijaipenda
   
 5. n

  noma Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  wamelewa sifa
   
 6. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Jinyonge
   
 7. P

  Papaya Senior Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2012
  Messages: 119
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani wat is going on makamanda?
   
 8. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 18,534
  Likes Received: 10,452
  Trophy Points: 280
  chadema tupunguze jeuri hii haikubaliki.!
   
 9. 3squere

  3squere JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 928
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kuna wabunge wangapi leo wa cdm au wote wapo kwenye msiba wa kanumba?
   
 10. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  nini haikubaliki?
   
 11. Amavubi

  Amavubi JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 9, 2010
  Messages: 29,473
  Likes Received: 4,748
  Trophy Points: 280
  amecite bonge la precedent, nahisi itatungiwa kanuni.........liwaahidi wapiga kura wake kwamba vumbi litaanza kutimka leo...au ndio anamsaidia Halima Mdee kumtoa Lulu???
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Sio lzm aapishwe siku hyo hyo,hana misifa's camp,nassari yupo juu sana ajalewa sifa kua mb kwani ana uhakika ameshinda kihalali ndio maana hana wasiwasi hata sipika akisema sio mb atashinda tena.
   
 13. Mvaa Tai

  Mvaa Tai JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 11, 2009
  Messages: 6,174
  Likes Received: 2,175
  Trophy Points: 280
  Nasari ni binaadamu kama wewe nadhani tusimhukumu kwanza tujue ni kwanini hajaingia bungeni maana siyo yeye wa kwanza kutokuingia bungeni siku ya kuapishwa. Hata kama amepatwa na tumbo la kuendesha aingie hivyohivyo bungeni kwasababu ni siku ya kuapishwa?
   
 14. R

  Ruppy karenston JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 5, 2011
  Messages: 412
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  I wonder whats happening.
   
 15. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Anchimba visima
   
 16. Memo

  Memo JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 17, 2011
  Messages: 2,147
  Likes Received: 17
  Trophy Points: 135
  Serikali yote ipo Leaders Club wanamzika kanumba!!

  Rais
  Waziri mkuu
  Makamu rais
  Waziri wa habari na michezo
  waziri wa akina mama na watoto
  waziri wa afya
  mwanasheria mkuu wa serikali
  Makamu wa Spika - ndugai


  Sasa hapo unataka nini tena kujua serikali hii ni hovyohovyo!!
   
 17. Brightman Jr

  Brightman Jr JF-Expert Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 22, 2009
  Messages: 1,233
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Wameogopa. Yaani wanaona aibu kuingia bungeni .....! What shameful it is?
   
 18. MAGEUZI KWELI

  MAGEUZI KWELI JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Jul 16, 2011
  Messages: 1,943
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 145
  Wabunge wa chama cha demokrasia hawajakuwepo bungeni kwa kuapishwa kikao cha mwanzo.sababu hatujui.je taarifa ya kuapishwa kwao haikuwafikia au la?
  Mwenye neno kuhusu kutoapiapishwa kwao aseme.
   
 19. M

  Mnyakatari JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,556
  Likes Received: 486
  Trophy Points: 180
  Mbunge mteule wa arumeru mashariki Joshua Nassary na mbunge mwingine wa viti maalum wote wa chadema hawakuwepo bungeni hivi punde kuapishwa!Spika wa bunge mama Anna makinda amesema hali hiyo sio ya kawaida kwa kuwa inajulikana kuwa ratiba ya kwanza ya leo kama ilivyopangwa na kamati ya uongozi wa bunge ni kuwaapisha wabunge wapya!Spika amesema ratiba za bunge zitaendelea kama zilivyopangwa kwa kuwa hana taarifa zozote za udhuru kutoka kwa wateule hao.Kamati ya uongozi wa bunge itakaa tena kupanga ratiba nyingine ya kuapisha wabunge hao.

  My take:I didn't like it.
   
 20. Angel Msoffe

  Angel Msoffe JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Jun 21, 2011
  Messages: 6,797
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  anamajonzi,
   
Loading...