Mh. Speaker Mama Makinda ameanza kuona ukweli?

Mpitagwa

JF-Expert Member
Feb 10, 2012
2,339
1,119
WanaJF, Kitendo cha mheshimiwa mama Makinda kumjibu waziri Mkulo kuwa mh. waziri hayo siyo majibu huku akiwa na uso unaonesha kuwa amekasirishwa na majib fake kimepokelewa tofauti na watu mbalimbali. Mimi binafsi nimepata tafsri kuwa speaker ameona ukweli kuwa katika CCM na serikali yake ni matendo yako mazuri tu ndiyo yatakayokusaidia mbele ya safari na si kutetea chama wala serikali yake. Na wanazi wa ccm na serikali yake wakishaondoka kwenye nafasi nusu ya wabongo wanadelete namba zao. Wanajamii wengine mnalionaje hili?
 
Anaimarisha chama chake?

good show!!!!!


mwaka 2015 ni wa CCM tena

Ni mtazamo wangu sijatumwa na mtu.
 
kawaida spika hatakiwi kutetea mabaya wala kufunika udhaifu.hivo ndio alivo mama makinda siku zote
 
Anakumbuka shuka wakat........... any way amesema huu ndiyo mwisho wake kisiasa 2015 hagombei sasa ccm wajiandaye atawapelekesha ile mbaya she has nothin to loose ha ha ha!
Jina lakk tu linanchosha. Bora kufa kuliko kufanyaje?
 
Subiri kwenye kikao cha wabunge wa magamba,atabandikwa bonge la plasta,kesho hutaamini kama ndiye yeye aliyejitutumua leo,wakiona anawaletea giza,watamkolimba fasta na kwa kuwa keshasema hagombei tena itakuwa ndiyo the end!
 
Back
Top Bottom