Msigwa afungua matawi ya chama akitokea Arumeru | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Msigwa afungua matawi ya chama akitokea Arumeru

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kamandamakini, Apr 10, 2012.

 1. k

  kamandamakini Senior Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 17, 2012
  Messages: 157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  [​IMG]
  [​IMG]
  Akifungua tawi la mashine tatu iringa mjini mara baada ya kuwasili.​
  [​IMG]
  Katika mapokezi haya ambayo wakazi wa iringa wali yaandaa, mhe. Msigwa aliwezafungua matawi mawili ya chama ikiwemo la kichangani na mashine tatu kisha ikafuatiwa na mkutano mkubwa maeneo ya kihesa.
  [h=3]MAPOKEZI YA MHE MSIGWA AKITOKEA ARUMERU[/h] [h=3]MAPOKEZI YA MHE MSIGWA AKITOKEA ARUMERU HII KUFUATIWANA USHINDI WA CHADEMA HUKO ARUMERU, MAPOKEZI HAYO YALIO ANDALIWANA WANANCHI YALIANZIA KWENYE MPAKA WAJIMBO LAKILOLO NA MANISPAA YA IRINGA AMBAKO WAKAZI WA IRINGA WALIMLAKI MBUNGE MSIGWA NAKUWANA MSAFARA MPAKA KIHESA SOKONI, MATAWI MAWILI YALIFUNGULIWA KATIKA MAPOKEZI HAYO.[/h]
  [​IMG]
  umati uliojitokeza katika mapokezi maeneo ya kihesa sokoni, baada ya mvua kubwa kunyesha.​
  [​IMG]
  wakazi wa iringa wakimbeba mbunge wao kuelekea jukwaani ili kuwahutubia.​
  [​IMG]
  watu wakimsikiliza kwamakini mhe Msigwa.​
  [​IMG]
  akiwahutubia.​
  [​IMG]
  Sehemu ya umati ulio jitokeza katika mapokezi.​
  [​IMG]
  chini ni balozi wa ccm alie jiunga chadema nakupewa bendela na kadi za chadema nakuwa balozi wa chadema katika mkutano huu. ​
  [​IMG]
  balozi wa ccm akijisalimisha chadema, nikatika mkutano huo ambapo alibatizwa nakuwa balozi wa chadema.

  [​IMG]
  balozi wa ccm akiapishwa kuwa balozi wa chadema.

  [​IMG]poweeeeeer!!!!!!​
   
 2. paty

  paty JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  big up msigwa ,
   
 3. v

  vngenge JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 360
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mhh pressure inapanda pressure inashuka!!!!!!
   
 4. M

  Mgaya D.W JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 966
  Likes Received: 190
  Trophy Points: 60
  kazi nzuri sana,nampongeza msigwa kwa kuwa mbunge anaezidi kuwavuta wanajimbo wake kila siku.simama imara na fanya kazi ya wananchi kwa uaminifu kamanda!
   
 5. Ulukolokwitanga

  Ulukolokwitanga JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 18, 2010
  Messages: 8,332
  Likes Received: 3,538
  Trophy Points: 280
  Hivi vyama vya msimu ni noma, vinakaba hadi penalt...

  Hadi kufikia. 2015 magamba watatwangwa kotekote
   
 6. paty

  paty JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,212
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  hici kikauli kimeniboa sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaana,

  ccm ndo chama cha msimu kwani kila msimu wa uchanguzi, wanapika pilau, wanagawa kofia, wanasikiliza wananchi, wanalia lia,

  CDM ni chama makini, kama unavyoona shughuli za chama ndo izo hapo then unakiita chama ca msimu ,

  MKUU FUTA IYO KAULI AISEEEE
   
 7. v

  vngenge JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 360
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 45
  Mhh pressure inapanda pressure inashuka!!!!!!
   
 8. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,744
  Likes Received: 198
  Trophy Points: 160
  Kazi nzuri, makamanda wengne waige mfano
   
 9. w

  warumu Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 3, 2012
  Messages: 42
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kamanda uko sawa kabisa!!!! Watu kama hawa ni 0brain wapo kwa kila jamii tisonge mbele kwa ajili ya ukombozi wa Taifa mkuu!!!!!!!!!
   
 10. Safety last

  Safety last JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2011
  Messages: 4,224
  Likes Received: 152
  Trophy Points: 160
  Kama kuna mbunge huwa ananivutia ni msigwa
   
 11. Mkondakaiye

  Mkondakaiye JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 5, 2011
  Messages: 839
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Hongera Mh. Msingwa, endeleza kazi hiyo vijiji vyote vya iringa
   
 12. s

  sverige JF-Expert Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 362
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Ninavo sikia hasira pindi niwaonapo hawa watu wachadema natamani kujilipua
   
 13. M

  Malila JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,297
  Likes Received: 533
  Trophy Points: 280
  Nani kakuzuia kujilipua?
   
 14. H

  Hute JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 5,039
  Likes Received: 2,310
  Trophy Points: 280
  iringa ni mkoa mzuri sana na wanaharakati, kumbuka kabla ya hapo kuna headmaster wa shule moja pale alishawahi kuwa mbunge kupitia NCCR pale iringa mjini. na sasa chadema. nawapongeza sana wanyalu kwa kuamka. mikoa yote ya wenye akili imechukuliwa na chadema, ile ya mambumbumbu ndo bado iko na ccm.
   
 15. Viol

  Viol JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Dec 15, 2009
  Messages: 18,642
  Likes Received: 565
  Trophy Points: 280
  dah usije ukafa mapema mkuu
   
 16. P

  PAMBANA Member

  #16
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 74
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hongera sana Mbunge wetu.Ila naomba kutofautiana wenzangu kidogo maana sitaki kukusifia sana maana wahenga walisema "Mgema akisifiwa tendo hulitia maji".Mh.Msigwa ulipata ubunge katika mazingira magumu sana na unajua unafanya kazi zako za ubunge katika mazingira magumu sana katika upinzani mkali kutoka kwa adui zako CCM.Nawaita adui zako kwa sababu hawako kukuunga mkono mfanye kazi pamoja ilikuijenga Iringa na kisha kuwaletea maendeleo wananchi wa jimbo hili.Lakini wenzetu hawa hawako tayari kukusaidia katika utekelezaji wa ahadi zako kwa wananchi bali wanakutafutia mapungufu ya kusema.Hivyo nakushauri pamoja na kukijenga chama hapa Iringa tunakuomba ufanye kazi kwa bidii ili uweze kutimiza ahadi zako kwa wana Iringa.Tunakuombea Mungu akusaidie na kukupa nguvu

  Mungu ibariki Africa
  Mungu ibariki Tanzania na watu wake wote.
   
 17. P

  Precise Pangolin JF-Expert Member

  #17
  Apr 11, 2012
  Joined: Jan 4, 2012
  Messages: 11,832
  Likes Received: 1,287
  Trophy Points: 280
  Du wale magamba waliomo humu jamvin hapa kwenye huu Uzi hawatii team
   
 18. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,404
  Likes Received: 59
  Trophy Points: 145
  Kaka wacha hasira tunakuombea miaka mingi ili uone mafanikio ya Chadema mwaka 2015
   
 19. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,516
  Likes Received: 93
  Trophy Points: 145
  Hongera MCHUNGAJI, tunamwomba Mungu azidi kuwa upande wako.amina.
   
 20. Butho Mtenzi

  Butho Mtenzi JF-Expert Member

  #20
  Apr 11, 2012
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 328
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ongera saana Mkulu wangu! Hakika Ir twasonga mbele
   
Loading...