Hii wana JF nyie mnaona imekaaje?? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hii wana JF nyie mnaona imekaaje??

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by oninho, Apr 11, 2012.

 1. o

  oninho Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 5
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kuna hil swala mie sioni kama limekaa vizuri na lina tija mbele ya watanzania ambao tunahitaji maendeleo na mustakabali wa nchi yetu. Tunafahamu kila chama cha siasa kina msemaje wake kwa mambo yote yanayohusu chama husika mfano CCM yupo NAPE NAUYE, CHADEMA yupo John Mnyika, sasa inapotokea kiongozi mwingine wa chama anaongelea mambo fulani hata yale ya binafsi halafu kutoka na kusema eti chama fulani wamesema kitu fulani mie naona sio sawa na ifike mahala tuweze kutofautisha kauli za chama na kauli za mtu binafsi. Mbona kauli za chama huwa zinakuwa na kichwa cha khabari kabisa?? Ni hayo tu kwani kila mtu ana uhuru wa kuongea na kutoa maoni yake ila tu asiingilie uhuru wa mtu mwingine kwani uhuru wa mtu unapoishia hapo hapo ndipo unapoanzia uhuru wa mtu mwingine.
   
 2. Mwanajamii

  Mwanajamii JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 5, 2008
  Messages: 7,080
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 0
  MKUKI KWA NGURUWE, KWA BINADAMU MCHUNGU, teh teh teh teh teh teh. MTEI HOYEEEEE! samahani nimejisahau
  Ila hapo kachemka siyo siri sijui tutamsafisha vipi.
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Mkuu upo right. Maoni ya mtu yatabaki kuwa ya mtu kamwe si ya chama. Ndio maana vyama vina kurugenzi ya habari, itikadi na uenezi. Kwa mfano suala la Mtei, hayo ni maoni yake na si ya chama japo ni facts tupu.
   
 4. Lyimo

  Lyimo JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 3,828
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  Tanzania wazee tunazeeka vibaya sababu ya hofu ya maisha.
   
Loading...