Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hii Wizara ya kazi na Ajira haina faida yoyote kwa Watanzania. Kwanza walitangaza mishahara ya sekta binafsi, wakashindwa kuisimamia. Mambo ni siasa siasa tu hamna lolote. Pili, Kazi za...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Nimesoma katika gazeti la mwananchi la leo nimestushwa na taarifa kwamba wanafunzi elfu 5200 waliofaulu kuingia kidato cha kwanza hawajui kusoma wala kuandika. Ndugu wana JF tukiwa katika karne ya...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Baada ya chaguzi ndogo mbili,Igunga na Arumeru Mashariki, tumeona vitendo vya umwagaji damu, lugha za matusi na rushwa. Mh Mwigulu, msomi wa hali ya juu na meneja wa kampeni nini tadhimini yako...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Dr Harith Ghassany Katiba yetu ya Zanzibar ndio dira! Kama kuongeza au kupunguza ni ndani ya Katiba ya Zanzibar. Tukiishadidia Katiba ya Jamhuri ya Muungano ni sawa na kuutawadhisha ubatili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mtazamo naona katika katiba mpya wabunge wabaki na kazi yao ya ubunge wasiwekwe kwenye nafasi yoyote inayoweza kuleta mkanganyiko nafasi hizo ni kama uwazir, ukuu wa mkoa na wilaya, wajumbe wa...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Kamanda mkuu wa jeshi la CHADEMA mkoa mpya wa Njombe akishirikiana na kamanda Nyagawa(Lutondwe).Amedhamiria kuhakikisha ifikapo 2014 jina la CCM linabaki historia katika mkoa mpya wa...
6 Reactions
32 Replies
4K Views
Source: Mwananchi Uzuri wa hawa jamaa 'project' yao hata ikae miaka 100 huwa hawaachi wala kukata tamaa LAZIMA Tanzania iingizwe kwenye sheria katili na baguzi za kiarabu. Wacha nichape kazi...
0 Reactions
157 Replies
15K Views
Wanafunzi 5,000 waliofaulu hawajui kusoma, kuandika Send to a friend Monday, 09 April 2012 20:42 0diggsdigg Fredy Azzah IMEBAINIKA kwamba wanafunzi 5,200...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Leo kwenye kipindi cha maswali na majibu bungeni, James Lembeli, yule mbunge wa Kahama aliuliza swali akitaka kujua ni kwanini moja ya barabara katika mji wa Kahama imejengwa chini ya kiwango...
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Raisi Kikwete anatazamamiwa kupangua baraza lake la mawaziri hivi karibuni. Habari nilizozipata toka chanzo cha moja kwa moja toka ikulu ya Magogoni zinasema:katika panguapangua yake mawaziri na...
0 Reactions
45 Replies
5K Views
Kama jibu ni ndio mbona raisi kila kukicha yupo safarini??au anatumia profesion yake??au waziri alie mteua ni kilaza??
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Wakati huu na huko tuendako kama taifa; tutasikia na kuonamengi kutoka kwa wanasiasa wanaotaka urais 2015. Wapo wanaozunguka kila mahalihususani kwenye madhehebu ya Dini wakitoa jumbe zinazolenga...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Huu ni mjadala, tujadili katiba mpya itamke vipi kuhusu hili?
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Badala ya Rais Kikwete kuwaapisha Ijumaa ya wiki hii, sasa atawaapisha tarehe 30 April mwaka huu. Tume itaanza kazi yake Mei Mosi, 2012 Katiba Mpya ifikapo Aprili 26, 2014, itatumika kwenye...
0 Reactions
1 Replies
960 Views
I wish watu wa Ikulu Dar wangekuwa na guts kama hawa jamaa wa Nairobi : ............................................................................................................ What...
0 Reactions
6 Replies
4K Views
Diwani wa kata ya MIYENZE NA MWENYEKITI WA HALMASHAURI YA WILAYA UYUI AMEUWA KWA KUPIGWA RISASI NA WATU WASIOJULIKANA USIKU WA KUAMKIA LEO NYUMBANI KWAKE IPULI MJINI TABORA. Nimepokoa kwa...
0 Reactions
54 Replies
8K Views
Waheshmiwa wanajf.. Kipindi cha bunge na mkutano wa kwanza ndo umeanza leo mjini Dodoma. Jambo la kunisikitisha ni pale mh.spika alipowaita wabunge wapya wawili akiwemo ambaye jina lake kwangu...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Heri ya Pasaka wana JF, Kuna mkakati maalumu wa kuwavua ubunge wabunge wengine wanne wa CDM, lengo ni moja tu kupunguza nguvu ya chama. Ni wazi kuwa kesi zote za wabunge wa CDM wamepewa majaji...
5 Reactions
96 Replies
10K Views
Nimependa nukuu hii hapa chini kutoka katika makala ya Manyerere Jackton katika makala yake ya " Kifo cha CCM ki wazi suala ni lini kitatokea" " Hakuna kisichobadilika, isipokuwa mabadiliko...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
wale waliofatilia uchaguzi mkuu wa 2010 watakumbuka michango ya waliokuwa RPC hawa; Simon Siro (Mwanza) na Basillio Matei (Arusha) katika kujenga demokrasia. Kutokana na jinsi walivyosimamia haki...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Back
Top Bottom