Kesi ya Tundu Lisu kuendelea leo Singida | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Tundu Lisu kuendelea leo Singida

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mtulivu2012, Apr 11, 2012.

 1. m

  mtulivu2012 New Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kesi ya Mhe. Tundu Lisu itaendelea kuunguruma leo kwa upande wa walalamikiwa(TL) kuanza kutoa utetezi. Inasemekana kuwa Mhe. Tundu Lisu atatumia ushahidi wa Shahidi namba 23 aliyetoka Dar kwa ajili ya uchunguzi wa Barua za mawakala na kama ilivyokuwa ktk ushahidi wake Shahidi huyo alionekana wazi kutoishabikia CCM na alitoa sababu zisizomuhusisha Mhe. TL kughushi barua zile.

  Shahidi huyo alibaini kuwa barua zile hazina ishara yoyote ya kuwa TL ndiye aliyezifanyia kazi. Na alisema inawezekana zilifanywa ktk steshinari za Iringa kwa kutumia mfumo mmoja.

  Tusubiri zaidi kutoka kwa wadau wa Iringa Leo Hii
   
 2. chitambikwa

  chitambikwa JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 3,940
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 135
  Tunaisubiri kwa hamu
   
 3. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Rubbish case!
   
 4. MNYISANZU

  MNYISANZU JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 21, 2011
  Messages: 7,056
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 145
  Magamba ni sawa na mfa maji asiyeacha kutapatapa. Wamekosa support ya umma na sasa wameigeukia mahakama.
   
Loading...