Mwakwembe Live Bungeni - Kweli Mungu Ni Mkuu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mwakwembe Live Bungeni - Kweli Mungu Ni Mkuu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Shadow, Apr 11, 2012.

 1. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Nashukuru kumwona huyu Mh. Akiwa na sia iliyo nzuri kabisa akiwakilisha wizara yake. Amenyoa upara na kwa kweli Mungu ni Mwema na anaweza. Amewashukuru watanzania wote wa dini zote kwa maombi yenu kwa ajili ya uponyaji wake.
   
 2. Tripo9

  Tripo9 JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2012
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 2,169
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 145
  Weka picha tumuone
   
 3. MAMA POROJO

  MAMA POROJO JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 4,966
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  Bado ni sumu .....Samuel Sita yuko wapi? atupe habari mpya!!!!!!
   
 4. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,404
  Trophy Points: 280
  Mbona naona kama ana ualaza mkubwa tu?
   
Loading...