Watakaotangaza nia Shinyanga Mjini kukiona | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Watakaotangaza nia Shinyanga Mjini kukiona

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by TUNTEMEKE, Apr 8, 2012.

 1. TUNTEMEKE

  TUNTEMEKE JF-Expert Member

  #1
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 15, 2009
  Messages: 4,582
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Habari imeeleza kuwa yeyote atakaye tangaza kugombea ubunge jimbo la shinyanga mjini hatari ipo mbele yake, hii inatokana na mmliki wa Jimbo hilo Mh steiven Masele kujipanga kuhakikisha ana wamaliza wabaya wake wote kwa ndumba.

  Alianza na Shelembi mtu ambaye si tu kwamba alipendwa sana mjini Shinyanga pia ndiye aliyeshinda ubunge wa hilo jimbo mwaka 2010 lakini hakutangazwa, baada ya muda mfupi alifariki dunia na tetesi zinasema aliuwawa na mganga wa Steiven Masele ambaye anaishi huko Mwamadulu ambaye ni mama yake na mbunge huyo kijana anayeendekeza sana ushirikiana. Kifo cha Shelembi kimetokea karibuni mwaka mmoja sasa umepita na CHADEMA mkoa wa shinyanga wako kwenye maandalizi ya kumbukumbu yake.

  Muda si mrefu Kanumba alichukua kadi ya chama cha demokrasia na maendeleo kwa msaada mkubwa wa mwenyekiti wa BAVICHA John Heche, ana Heche alikuwa anampigia chapuo kwa viongozi wa chadema taifa ili awe mgombea wake kwenye uchaguzi mkuu wa 2015 kwa ngazi ya ubunge mjini Shinyanga.

  Mtoa habari hizi amedai kuwa baada ya bwana masele kugundua kuwa popularity ya bwana kanumba ni kubwa njia pekee ni kumuondoa duniani, wengine wanaotajwa kwa majina kuwa wako kwenye orodha ya kutangulia mbele ya haki kama tu watatangaza nia au watajaribu kugombea jimboni humu wameonywa, ndugu Tumbo ambaye siku za karibuni amekuwa akipigana kumbo na viongozi wa mkoa hapa shinyanga kwa lengo la kugombea uenyekiti wa mkoa ili baadaye aje ajiteuwe kuwa mgombea wa ubunge wa jimbo hilo.

  Mwingeine ni Rachel mashishanga ambaye ni mbunge wa viti maalum amabye naye kwa kutumia wapambe wake amekuwa akuhusishwana hizo tetesi za kutaka kugombea na aliwahi kusikika katika mkutano wa kampeni kata ya masekelo akiwasihi wananchi wamchague diwani wa Chadema ili wampe moyo wa yeye kugombea hilo Jimbo, mara tu baada ya kauli yake hiyo siku mbili baadaye alianza kuumwa miguu kiasi amabcho alishindwa hata kutembea na sidhani kama bado ana hiyo nia.

  Vijana wengine wa Shinyanga pia wameshatangaza hizo nia wengine kupitia mitandao ya kijamii, kuna huyu mmliki wa forum ya shinyanga tunayoitaka ameshatangaza kuwa atagombea kupitia ccm lakini hana madhara kwa ndugu masele ndiyo maana bado anaishi, Huo ni muendelezo wa siasa za kichawi kanda ya ziwa.

  Ikumbukwe kuwa jimbo la solwa ambalo ni jimbo jirani na shinyanga mjini mwaka 2000-2004 liliwahi kuuwa wabunge wanne na dawa hiyo nasikia ndiyo iliyohamia mjini shinyanga kilimalizia chanzo cha taarifa hiyo

  YETU MAcho
   
 2. macho_mdiliko

  macho_mdiliko JF-Expert Member

  #2
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 10, 2008
  Messages: 6,437
  Likes Received: 2,352
  Trophy Points: 280
  Watanzania wanaangamia kwa kukosa maarifa. Karne hii bado uchawi unapewa nafasi kubwa namna hii hata na wasomi? Ungeniambia anawalisha sumu ningeweza kufikiri mara mbili.... lakini uchawi?
   
 3. i

  ibange JF-Expert Member

  #3
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 1,545
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  si swala la kupuuza
   
 4. m

  mtengwa JF-Expert Member

  #4
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 20, 2011
  Messages: 1,745
  Likes Received: 225
  Trophy Points: 160
  Ingawa wengi hatuamini uchawi, lakini hayo si ya kupuuzwa
   
 5. Uliza_Bei

  Uliza_Bei JF-Expert Member

  #5
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 17, 2011
  Messages: 3,109
  Likes Received: 428
  Trophy Points: 180
  Mtarogwa sana mnaoamini giza badala ya Mungu wa mbinguni
   
 6. i pad3

  i pad3 JF-Expert Member

  #6
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 16, 2012
  Messages: 1,520
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  kuna yule mgeja alikufa kipindi fulanii..ndio huu mtiririko?
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Very low!
   
 8. M

  Molemo JF-Expert Member

  #8
  Apr 8, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  RIP Kanumba wa CDM.
   
 9. Nicas Mtei

  Nicas Mtei JF-Expert Member

  #9
  Apr 8, 2012
  Joined: Dec 21, 2010
  Messages: 11,569
  Likes Received: 106
  Trophy Points: 160
  duh! Kazi ipo wajameni
   
 10. M

  MCHUMIPESA JF-Expert Member

  #10
  Apr 8, 2012
  Joined: Mar 11, 2012
  Messages: 2,095
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Serious mazee! Ona eti alishnda ubunge kwa kura 1 can u imagine?
   
 11. nashy

  nashy JF-Expert Member

  #11
  Apr 8, 2012
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 679
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kwa akili zako unadhani uchawi haupo? Tena hao wasomi ndo washirikiana wakubwa. Usipuuze badala yake chukua hatua
   
 12. OKW BOBAN SUNZU

  OKW BOBAN SUNZU JF-Expert Member

  #12
  Apr 8, 2012
  Joined: Aug 24, 2011
  Messages: 22,800
  Likes Received: 17,886
  Trophy Points: 280
  usipuuze hii kitu kabisa, naijua mwamadulu, wako ndugu zangu na nitalifanyia tafiti hii issue
   
 13. m

  magongombishi New Member

  #13
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Yeye ata a2mie uchawi 2015 tutaanza na mungu na kumaliza na mungt naamini cdm itatuma kamanda wa kutetea wana shy kama alivyokuwa marehemt phiLiph mapadura shelembi.
   
 14. A

  Amelie Senior Member

  #14
  Apr 8, 2012
  Joined: Oct 13, 2008
  Messages: 195
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hayati Hon J.N.Mgeja,alikufa kwenye campeni.Nguvu za giza.R.i.P Hon Mgeja
   
 15. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #15
  Apr 8, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Kama ndo hivyo mbona inatisha
   
 16. andrewk

  andrewk JF-Expert Member

  #16
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 3,103
  Likes Received: 55
  Trophy Points: 145
  Kumbe alikuwa mwanacha wa cdm!
   
 17. Foundation

  Foundation JF-Expert Member

  #17
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 1,458
  Likes Received: 256
  Trophy Points: 180
  Tutakurupuka sana na kutoa comment za ajabu ajabu, najua uchawi upo sana lakini lazima uwe na uhakika na unachosema sio kutoa maneno tu. Suala la Kanumba yatasemwa mengi sana, mara freemanson nk
   
 18. m

  mama kubwa JF-Expert Member

  #18
  Apr 8, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 2,412
  Likes Received: 1,973
  Trophy Points: 280
  Cha kushangaza huwa anaishi kwa ndugu yake ambae ni padri! .Huyu kijana anahusishwa sana na nguvu za giza wapambe wa ccm walikuwa wanasema hadharani wamemchakachua Shelembi (Marehemu) ubunge hadi maisha!
   
 19. apolycaripto

  apolycaripto JF-Expert Member

  #19
  Apr 8, 2012
  Joined: Feb 11, 2011
  Messages: 637
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Teeeh...teeeeh.Unanikumbusha issue ya Shashu Lugeye.Huyo dogo hana uchawi wowote ni hisia tu, kinacho watafuna Shinyanga ni UKABILA tena katika vyama vyote. Hamtokaa mkapata Mbunge bora kama aka katabia hakatakwisha( bha bhabha na bha mayo). For Kanumba as CDM expected Candidate in Shinyanga Municipal sidhani kuwa his death connected to politics tuwe na imani kuwa kafa kifo kama kinavyoelezewa na ndugu zake. Marehemu huyu hakuwahi kupiga kampeni wala kujinasabaisha wazi kama MwanaCDM anayewania jimbo la Shinyanga. The so called Masele nadhani kama alikuwa anataka kudhibiti wapinzani wake was too early to get Kanumba killed in a superstition way.

  Vijana mjipange mwende and no body will get killed with a natural power as somebody stipulated here.
   
 20. n

  n.ngereja Member

  #20
  Apr 8, 2012
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 32
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  uchawi upo hata biblia imeutaja, katika jimbo la SOLWA ndugu Shashi LUGEYE alikuwa mkuu wa wilaya ya KWIMBA mwanza, mwaka 2000 akaenda kugombea ubunge akashindwa kura za maoni CCM,baada ya hapo akagombea kupitia CCM-B akashindwa uchaguzi mkuu, mbunge aliyeshinda akafa baada ya miezi mitatu, uchaguzi mdogo ukaitishwa tena, SHASHI LUGEYE akagombea tena kupitia CCM-B, akashindwa tena, mbunge aliyeshinda akafa tena,

  TAFAKARI, CHUKUA HATUA
   
Loading...