ADC na bendera kama ya CHADEMA

dubu

JF-Expert Member
Oct 18, 2011
3,493
3,453
318145_264683836950900_100002278567469_562734_171476896_n.jpg

chadema.jpg
 
Mkuu hiyo ya kwanza imeandikwa A
...........................................D C

Hiyo ya pili haijaandikwa.
 
ktk hali ya kushangaza chama kipya ca Adc kimetoka na bendera inayofanana kwa rangi zote na chadema. Je wamekurupuka?
 
Rangi zinazofanana hapo ni mbili tu - buluu hazifanani hata kidogo
 
Nimeshtuka kidogo baada ya kuona chama kipya cha ADC kupata usajiri wa muda huku bendera yake ikionekana kufanana kwa rangi kama zinazotumiwa na CDM, Hivi hii haiwezi kuwa ni mbinu ya wana magamba kuwachanganya wananchi? Na hivi kabla ya msajiri hajatoa huo usajiri, hakuna sheria inayombana ili kuhakiki logo na alama zitakazo tumiwa na chama husika?....
 
weka picha
 
Mpango kabambe wa ccm kutaka kuidhoofisha chadema, hiyo bendera haikubaliki kabisa. Wanachadema wote tuipinge, huu ni undumilakuwili si wangetumia ya ndugu yao ccm au ya mama yake cuf
 
magamba yanambinu nyingi sana nimemsikia Tendwa anavyozungumza utafikiri watanzania wote ni watoto wake ,inawezekanaje chama kisajiliwe bila kuonesha rangi ya bendera yao? huu ni uzushi mtupu
 
ktk hali ya kushangaza chama kipya ca Adc kimetoka na bendera inayofanana kwa rangi zote na chadema. Je wamekurupuka?
ILA KWELI HEBU CHEKI BENDERA YAO

IMG_1271.JPG

Wafuasi wa Chama cha Alliance for Democratic Change (ADC) , wakipeperusha bendera ya chama hicho kipya huku wakiwa kwenye pikipiki wakati wakitoka kwa Msajili wa Vyama vya Siasa nchini baada ya chama chao kupata usajili wa muda Dar es Salaam
 
sasa mbona hizi rangi zimeendana sana na za Chadema!! Hizi ni hila za wazi
 
Nawaibia siri ni mpango maalumu kuihujumu chadema na unatekelezwa kwa mikakati ya kijinga, ila ndio hivyo mambo ya vyama vingi. itafaphamika tu.
 
Kwani bendera ya CHADEMA ni ipi hasa? Huwa zinanichanganya.

471370520.jpg
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom