Madokta walikataa kunywa Juice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madokta walikataa kunywa Juice

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MPadmire, Mar 10, 2012.

 1. M

  MPadmire JF-Expert Member

  #1
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2006
  Messages: 2,411
  Likes Received: 697
  Trophy Points: 280
  Teh teh--- Nyumbani kwa baba hapaaminiki ee!
   
 2. j

  jmushi1 JF-Expert Member

  #2
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2007
  Messages: 16,234
  Likes Received: 197
  Trophy Points: 160
  I asked myself the same question, JK peke yake ndo mwenye juisi hapa...
  [​IMG]
   
 3. Sumba-Wanga

  Sumba-Wanga JF-Expert Member

  #3
  Mar 10, 2012
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 5,387
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  The way the cookie crumbles....
   
 4. ossy

  ossy JF-Expert Member

  #4
  Mar 10, 2012
  Joined: Apr 7, 2011
  Messages: 866
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 35
  jk alijisikiaje labda?,mkuu wa kaya kweli aaminiki....
   
 5. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #5
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,143
  Likes Received: 577
  Trophy Points: 280
  hawakunywa
   
 6. Ufunuo

  Ufunuo JF-Expert Member

  #6
  Mar 10, 2012
  Joined: Jun 6, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  nasifu ujasiri wao MUNGU awatangulie kwenye kupigania maslahi ya taifa letu.
   
 7. Raia Fulani

  Raia Fulani JF-Expert Member

  #7
  Mar 10, 2012
  Joined: Mar 12, 2009
  Messages: 10,228
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  walienda kikazi zaidi
   
 8. k

  kiparah JF-Expert Member

  #8
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2010
  Messages: 1,176
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Waliogopa gharama ya kupelekwa India!
   
 9. Mwakalinga Y. R

  Mwakalinga Y. R Tanzanite Member

  #9
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 22, 2008
  Messages: 2,718
  Likes Received: 47
  Trophy Points: 145
  Kweli watu wanamwogopa baba riz!
   
 10. samirnasri

  samirnasri JF-Expert Member

  #10
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 1,377
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Inawezekana wamemaliza kunywa ya kwao.
   
 11. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #11
  Mar 10, 2012
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,003
  Likes Received: 378
  Trophy Points: 180
  Dr Mponda hakuwepo?
   
 12. Mwana Mpotevu

  Mwana Mpotevu Platinum Member

  #12
  Mar 10, 2012
  Joined: Sep 7, 2011
  Messages: 3,292
  Likes Received: 282
  Trophy Points: 180
  hawakwenda Ikulu kunywa Juice, walikuwa sahihi kabisa kama alivyofanya Mwalimu Peter Mashanga kwa Mzee mwinyi enzi zileeeeeee kwa wanaokumbuka
   
 13. Mzalendo80

  Mzalendo80 JF-Expert Member

  #13
  Mar 10, 2012
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 2,339
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 135
  Wanywe hawajitaki?
   
 14. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #14
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,052
  Likes Received: 46
  Trophy Points: 145
  Walipewa zao wakafakamia fasta, wakapewa round ya pili wakamaliza tena. Walipoulizwa ya 3 wakaona noma
   
 15. TUMBIRI

  TUMBIRI JF-Expert Member

  #15
  Mar 10, 2012
  Joined: May 7, 2011
  Messages: 1,934
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mambo ya Polinium 210 unadhani Madaktari hawayajui! Fuatilia academic records za Madaktari uone. Hawa ni vipanga kwenda mbele!
   
 16. MotoYaMbongo

  MotoYaMbongo JF-Expert Member

  #16
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 7, 2008
  Messages: 1,759
  Likes Received: 115
  Trophy Points: 160
  Hawajipendi?
   
 17. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #17
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,219
  Likes Received: 7,521
  Trophy Points: 280
  siamini,haiwezekani basi wanatisha.!!!
   
 18. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #18
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Wamekunywa na kula na walipotoka hapo kimyaaa, hawajapata usingizi waliyoyakuta huko. Wanajuuta kwenda Ikulu, lakini ndio wametia adabu wameelewa huko kuna vichwa.

  Huko wamesha Mkonvinsi Rais wa US aake Tanzania siku 4 wakati hakuna aliyewahi kukaa masaa 24? unafanya mchezo. Huko kuna vichwa vilivyi konvinsi white house ya US kuwa Rais wa kwanza kuingia Ikulu katika awamu mpya atakuwa ni kutoka hapo Ikulu. Unafanya mchezo?
   
 19. idawa

  idawa JF-Expert Member

  #19
  Mar 10, 2012
  Joined: Jan 20, 2012
  Messages: 17,219
  Likes Received: 7,521
  Trophy Points: 280
  mbna na hapa hazionekani lakini inasemekana walikunywa
   
 20. mayoscissors

  mayoscissors JF-Expert Member

  #20
  Mar 10, 2012
  Joined: Nov 24, 2009
  Messages: 758
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 35
  Hawajanywa na kitimoto aliyopata jk ni siri yangu na madaktari,just imagine 7 hours trying to educated low score like that,no one trust these ******
   
Loading...