John Mnyika
Reaction score
44

Profile posts Latest activity Postings About

 • Mh. inasikitisha sana kuwa tangu college yetu ianze mwaka 2007,wanafunzi wake hawajawai kupokea special faculty requirements kama ilivyo kwa vyuo vingine
  Mh;sisi ni wanafunzi wa COLLEGE OF INFORMATICS AND VIRTUAL EDUCATION AT UDOM;ni takriban miezi mitatu tuko nje ya campus baada ya kusimamishwa masomo,REASON;KUANDAMANA HADI KWA MH PINDA ILI KUISHINIKIZA SERIKALI ITULIPE SPECIAL FACULTY REQUIREMENTS.WENZETU 56 WAMEZUILIWA KURUDI CHUO,SISI TUMEAMBIWA TURUDI TAR 27 JULAI BAADA KUTIMIZA YAFUATAYO;KULA KIAPO,KULIPA ADA NA MICHANGO YOTE IKIWEMO 10000 YA USAJILI.MH TUNAOOMBAMSAADA WAKO MAANA HATIMA YA WENZETU HAIJULKAN HAD SASA
  Hongera sana kwa kushinda kiti cha Jimbo la Ubungo.
  Mimi ni mkazi wa Ubungo,naishi Ughaibuni. Ushwazi original ni Njombe Magharibi.


  Nimechangia CHADEMA kushindwa Njombe Magharibi kwa sababu sikujitokeza kuwania kiti hicho.

  Nakutakia Amani na Heri katika kazi yako mpya.

  Uwe mpole kama Huwa na mjanja kama Nyoka.

  Katumike, Ishi na watu, Uwe Nuru palipo na Giza, Jaza Matumaini palipo na Dharau na Unyonge.

  Hekima ipitayo akili za wanadamu wote ikuongoze daima.
  John Mnyika,ulikuwa unapendwa sana eneo letu lakini sasa ujapiga kampeni wala utembelei, matukio muhimu,umeanza kutupa wasi wasi.Naomba ujaribu kupita ikiwezekana kwenye mikusanyiko kwani umeweteka sana kampeni za mwaka huu.mitaa ya kimara korogwe,kwa mzee nguma,vijana street na mjimpya street mpaka jeshini hatujakuona wala kuku sikia.usibweteke.naomba simu yako
  nitumie msg kwenye email yangu hii nataka kama bado inafanya kazi.pia nifundishe jinsi ya kutumia wakati wa kuchangia mada zinazokuwepo
  Hi Mnyika, a political battle with CCM is meaningless without involving the diplomatic corps especially the world police Great Britain and United States. Report such matters to such authorities and the can even travel to Tarime with you and see by themselves such a situation. This country depends on such donors for all their existence, therefore you must attack where they are weak. Anyway bravo for your work on fighting for this country.
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…
Top