Ibrah
Reaction score
62

Profile posts Latest activity Postings About

  • Ok, Mkuu. Unachotakiwa kufanya ni kujisajili tu kwenye hiyo huduma. Wasiliana na huduma kwa wateja na unaweza kupata maelezo ya hakika.

    Mimi sijawahi kutumia huduma hiyo pia lakini nimeambiwa ni nzuri maana ukishatumiwa ujumbe unakwenda kwenye kituo chao kilicho karibu na unachukua pesa zako.
    Nimepata email yako, nimekuelewa na kurekebisha mkuu. Tatizo sijawahi tumia M-Pesa wala Z-Pesa hivyo procedures sizijui.

    Kama vipi tuwasiliane kwa simu unieleze kwa mapana. Ila nimerekebisha kwenye 1st post
  • Loading…
  • Loading…
  • Loading…
Top