Katiba ijayo itoe haki kwa wananchi kumiliki ardhi na uwezo wa kuitumia ardhi yao kama mtaji | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Katiba ijayo itoe haki kwa wananchi kumiliki ardhi na uwezo wa kuitumia ardhi yao kama mtaji

Discussion in 'KATIBA Mpya' started by okomit, Apr 11, 2012.

 1. o

  okomit New Member

  #1
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 2
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Katika katiba ijayo wananchi wapewe haki ya kumiliki ardhi na kuitumia kama mtaji wa kujipatia hisa katika uwekezaji pale wawekezaji wanapotaka kuitumia ardhi hiyo. Hii itawawezesha wananchi kuwa na kipato endelevu inayotokana na ardhi yao waliyopewa na Mungu badala ya mtindo wa sasa ambapo serikali inachukua ardhi na wananchi hupewa fiidia kidogo sana kiasi kwamba wanashindwa kujiendeleza kimaisha hali inafanya wananchi waone uwekezaji kwenye ardhi kuwa kero kwao kwa kuwa hawaoni faida yake.
   
Loading...