Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

waheshimiwa bungeni kumewaka moto mheshimiwa Msigwa alikuwa akichangia wizara ya utumishi wa uma awaelezea ukwel usalama wa Taifa kuwa wamekuwa usalama wa CCM na ni si usalama wa taifa. Anasema...
2 Reactions
78 Replies
10K Views
Wakuu kama mjuvyo soon Mkuu wa kaya atafanya mabadiliko kwenye baraza lake la mawaziri, jee kuna mawaziri gani ambao wamekuwa janga la taifa na mawaziri gani wanastahili pongezi Au mawaziri gani...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Kwanza kabisa naomba niseme kama wewe unadhani utachangia hizi hoja zangu kwa matusi ni bora ukasoma tu na kupotezea, natamani kuona wale wote watakao changia hapa wachangie kwa lengo la kujenga...
2 Reactions
120 Replies
9K Views
Wana JF kuna jambo la kujiuliza kwa tabia ya CCM na jinsi walivyowafungulia kesi karibu wabunge wote machachari wa CHADEMA kwa nini Zitto hawamgusi zaidi wanashirikiana na kupongeza mara kwa mara...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Tunasubiri picha za mkutano wa CHADEMA Dodoma hadi sasa kimya....vipi makamada hapo Mjengoni....au beat la mkuu wa mkoa limewaingia?????
0 Reactions
10 Replies
1K Views
Wed, April 11th 2012 Tanzania | Wed, Apr 11th, 201 Esther Murugi, the minister of state for special programmes NAIROBI, April 11 (Reuters) – Kenya and Tanzania issued tsunami...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wed, Apr 11th, 2012 Tanzania | Wed, April 11 2012 By In2EastAfrica Staff Serengeti District councillors on Tuesday supported President Jakaya Kikwete's position on the construction of...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni jambo la ajabu na lakushangaza kwa Jeshi letu la Polisi kwa umati ule kukaa kimya juu/kutokuwa na sababu za kiintelejensia ambazo tumezoea kuziona pindi kuwapo na mikusanyiko ya hapa na pale...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Muda mfupi uliopita nimesikia kwenye redio moja ya Fm hapa Shinyanga kuwa Mh.rais amemteua makamu wa rais Mh. Bilal kuwa mkuu wa chuo cha Nelson Mandela na Mh David Mwakyusa kuwa mwenyekiti wa...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Jk amwaga ng'ombe 25000 kwa wananch wa mondul kama kfuta jasho baaada ya kusmamisha mrad wa kununua ng'ombe
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kodi ni agenda kubwa sana, ni kitu unategemea wanasiasa wangekua wanakiongelea sana lakini kwa nini hapa kwetu sisikii wanasiasa wakiongelea kodi. Kuna mambo mengi ya kuongea katika suala la kodi...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nyerere piloted the Union. No body understands the intention and implementation of the union!! Evcerybody sees it as a total mess!! In this case; why should we praise Nyerere for this Union that...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Usingizi wa pono, utapia-akili, ufinyu wa fikra na kutokuweka mbele maslahi ya taifa wa "wabunge" walio wengi wa CCM umenisukuma kunukuu Taarifa ya Pili ya Tume ya Jaji Nyalali ya mwaka 1992; uk...
1 Reactions
2 Replies
958 Views
Wanabodi,kwa mawazo yangu binafsi naona ingekuwa vema na haki kwa viongozi Makamanda wa CDM kutafakari kwa umakini juu ya CDM DAY,siku ambayo nadhani iwe ni ile siku M4C ilipozinduliwa,achilia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ebena ni noma,tumezoea kuona umati mkubwa kama huu,ktk mikutano ya dini.na kiaina sana tena kwa kuletwa na maroli,mabasi,na kupewa nauli ya kurudia kwa wale wanaitwa wa magamba.ila leo kuna kina...
2 Reactions
45 Replies
6K Views
Kimefanyika kikao cha watu watatu Mbowe, Slaa, na Mtei (cha siri) kilichoketi kuhakikisha Zitto anafukuzwa katika chama. Inadaiwa ni kwa sababu ya kupingana na mpango wa chama hicho wa...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Kwenye taarifa habari ya leo nimeona maajabu: Maandalizi ya mazishi ya mkuu wa majeshi ni pamoja na kupaka rangi nyumba. Yale yale ya kufukia mashimo barabara zetu tunapojiandaa na ziara za...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Katika hali isiyo ya kawaida, jaji Moses Mzuna, anayesikiliza kesi ya kupinga matokeo ya Jimbo la Singida mashariki, leo asubuhi amemlazimisha mbunge wa Jimbo hilo, TUNDU LISSU- CHADEMA, apande...
9 Reactions
45 Replies
6K Views
Naamini kuwa siku ya kuikomboa Tanzania sio siku ile CCM itakapong'olewa madarakani, au siku ile CHADEMA watakaposhika dola bali siku ya kuikomboa Tanzania ni siku ile watanzania tutakapoanza...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Wana jf,kuna jambo ambalo kiundani linatatiza na linatoa taswira mbaya kwa jeshi letu la porisi na serikal kwa ujumla Leo mtuhumiwa wa kwanza ya mauaji ya Steven kanumba amepelekwa mahakaman...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom