Kesi ya Lema: Jaji alihukumu kwa kulinganisha idadi ya mashahidi wa pande mbili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kesi ya Lema: Jaji alihukumu kwa kulinganisha idadi ya mashahidi wa pande mbili

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by YanguHaki, Apr 7, 2012.

 1. YanguHaki

  YanguHaki Senior Member

  #1
  Apr 7, 2012
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 129
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama sijakosea mashahidi upande wa utetezi walikuwa 4 na upande wa walalamikaji 13. Sipati picha kama hao 13 wanasema Lema alisema maneno ya matusi na kudhalilisha wakati hao 4 wanasema hakufanya hivyo. Kwangu mimi naona kuna doubt sana kwenye oral evidence ambao mwingi waweza kuwa hearsay kwa hiyo nilitazamia upande wa walalamikaji ungewasilisha mahakamani documentary evidence i.e audio tape au video tape. Hiki ndio kinachonisukuma kuamini aliamua wengi wape!
  Sipati picha hapo!!!
   
 2. K

  KOBEROZ New Member

  #2
  Apr 7, 2012
  Joined: Apr 2, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Its true braza,jaji amekuwa mwanasiasa,ingawa mi siyo hakimu,hakuna mantiki kuhukumu bila kupata ushahidi wa audio.hakimu alipaswa kujiridhisha zaidi kuliko kutoa hukumu kwa kufuata ushahihidi wa walalamikaji
   
 3. C

  CHUAKACHARA JF-Expert Member

  #3
  Apr 7, 2012
  Joined: Jun 3, 2011
  Messages: 12,200
  Likes Received: 3,810
  Trophy Points: 280
  It is not the number of witnesses that matters, but the weight of the evidence. Let us wait to see the records of the proceedings.
  What were the facts in issue
  What were the issue for decision framed by the Judge
  What does the law say on those framed issues
  Much to desired..........................
   
 4. M

  MBINGA BOY Member

  #4
  Apr 9, 2012
  Joined: Nov 27, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  wakuu sisi tupo A-TOWN mkutano wa juzi uliwatisha magamba hadi wakajuta kumtumia jaji wao wakifikiri ni
  mtaji wao,kwani mahakama haipigi kura sisi ndio tulio mweka Lema madarakan,na alianzisha mfuko wa kusomesha
  watoto masikin machozi ya watoto itakuwa anguko la mafisdi. Jamani DAR kwanini bado mnakumbatia magamba
  au mnapata maisha bora?????????????????????????
   
 5. B

  Blessing JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2009
  Messages: 271
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  unajua wandugu zangu sidani hata kama dar wanawachagua ila wanaiba kura hawa magamba chama cha mamende hawa. Ila mhe. Godbless lema ameonewa kabisa. I am just astonished to see how our today judges donot know their professions this days. Bribes and corruptions have taken up each and every work station. Ila piga ooa chama cha mamende aita pata kabisa arusha. Wanajidanganya tuu --- wajaribu .
   
 6. Losambo

  Losambo JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2012
  Joined: Nov 8, 2011
  Messages: 2,623
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lema hakuwa na kesi ya msingi bali majungu tu yale. Na nawakikishia kama ile kesi ndiyo ingefunguliwa na mpinzani ingeshatupiliwa mbali kabisa na saizi tukawa tumesahau kabisa.
   
 7. M

  Malova JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2012
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 777
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  Lengo lao kitia hasara serikali kwa kurudia uchaguzi. Kimsingi Chai Chapati Maharage hawawezi tia mguu A-CITY
   
Loading...