Naomba Mwongozo Ndugu Wapendwa.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naomba Mwongozo Ndugu Wapendwa..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mtoboasiri, Apr 10, 2012.

 1. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  ...mimi si kiongozi wa CHADEMA ila ni mwanachama wake mpya, lakini nataka kufanya mikutano ya hadhara kwetu Tabora kukitangaza chama (tarafa za Kitunda na Kipili na maeneo ya Chabutwa na Mpombwe). Naruhusiwa kisheria kutoa taarifa za kufanya mikutano ya hadhara kwa niaba ya chama changu?
   
 2. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Wasiliana na viongozi wa chama wilaya na mfuate process.kuweni makini,ccm wanakata mapanga!lakini tunawaombea!tupo pa1
   
 3. m

  mwanza_kwetu JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 2, 2011
  Messages: 684
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Make a plan, tafuta viongozi wa wilaya, na andaa ajenda za mikutano then hakuna lisilowezekana; nilikuwa tabora ndio mji mbaya kuliko yote tanzania; kalami kako stand tu jamani na utajiri wote huo watu wanaonyesha bastola tu then what
   
 4. Havizya

  Havizya JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 3, 2012
  Messages: 1,573
  Likes Received: 169
  Trophy Points: 160
  Wenye moyo wa kuthubutu kama wewe tunawataka sana! Wasiliana na uongozi wa kata/wilaya, hata kijiji. Fuateni procedure mtafanikiwa.
   
 5. DALLAI LAMA

  DALLAI LAMA JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 31, 2012
  Messages: 8,617
  Likes Received: 401
  Trophy Points: 180
  Safi kamanda..mtafute kiongozi wa chadema wilaya ama mkoa
   
 6. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ni vipi wewe ujiite mwanachama, halafu hujui taratibu za chama chako?! na kanuni zinazoongoza vyama vya siasa?
   
 7. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,154
  Likes Received: 2,406
  Trophy Points: 280
  Watafute kina mnyika wakupe muongozo!
   
 8. Mtoboasiri

  Mtoboasiri JF-Expert Member

  #8
  Apr 11, 2012
  Joined: Aug 6, 2009
  Messages: 5,106
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 0
  Sijiiti mwanachama bali ni mwanachama. Na uelewe swali na madhumuni ya kutolewa swali lenyewe kabla ya kuandika kitu - assuming una mental capacity ya kuelewa that is. Sijaulizia taratibu za kichama bali sheria zinazohusu mikutano ya hadhara!
   
Loading...