Lets talk about our next PRESIDENT | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Lets talk about our next PRESIDENT

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tume ya Katiba, Apr 10, 2012.

 1. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #1
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  images.jpg
  Asha-Rose Migiro, 50, becomes the first black woman and first African to hold the position of deputy UN secretary-general, a post created in 1998.
  When she made history last year, becoming Tanzania's first woman foreign minister, some people started referring to her as the "Condoleezza Rice of Tanzania".
  But Mrs Migiro, a seasoned human rights champion, preferred the title "Dr Asha-Rose of Tanzania".
  She has a law doctorate from Germany, and is described as hardworking, modest and a down-to earth politician.
  Married to a Christian, a university lecturer with whom she has two children, she rose to prominence 10 years ago after acquiring a ruling party parliamentary seat reserved for women.

  No ivory tower
  Despite her former career in academia - she headed the law faculty at the University of Dar es Salaam - Mrs Migiro is a person who likes to be in touch with the grassroots.

  Unlike some of her learned colleagues in the political arena she addresses ordinary Tanzanians in Kiswahili without using English words.

  When she is in rural areas, she does not demand urban hospitality - eating what her hosts eat and chatting with them as if she was not a prominent political leader.
  This way, she believes, people will open up and talk freely.
  Two year's ago, women's organisations urged Mrs Migiro to seek the nomination as the ruling party's presidential candidate.
  However, she turned the request down saying that she was waiting for the right time.

  Baptism of fire
  Her supporters say she has proved she can take the heat.
  In fact, Mrs Migiro had a baptism of fire last year as her appointment as foreign minister came as Tanzania took over the presidency of the UN Security Council and she had to preside over its frequent meetings in New York .
  And while Dr Asha-Rose may be quiet and unassuming, she is certainly a lady who stands out in the crowd.This is exemplified by her wardrobe - a fashionable mixture of African, Western and even Asian styles, but without clashing colours.

  WANAWAKE WAKIWEZESHWA WANAWEZA.
   
 2. Nani Kasema

  Nani Kasema Senior Member

  #2
  Apr 10, 2012
  Joined: May 31, 2011
  Messages: 148
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  pumba toka kwa mafisadi wa ccm
   
 3. Lastname

  Lastname JF-Expert Member

  #3
  Apr 10, 2012
  Joined: Feb 23, 2012
  Messages: 925
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  yako binafsi mawazo nayaheshimu.
   
 4. MANGUNGO

  MANGUNGO JF-Expert Member

  #4
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 30, 2011
  Messages: 1,538
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 133
  Mumetuchoka kweli magamba!muna andaa li-bibi lijekutawala!! limeifanyia nini nchi hii?hivi uliyeleta mada una akili?mh!
   
 5. Mlangaja

  Mlangaja JF-Expert Member

  #5
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 541
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 45
  anaongea Kiswahili bila kuchanganya. Wewe unaongea kiingereza bila kuchanganya na Kiswahili.
   
 6. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #6
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  JK anatisha,

  Alipotakiwa kuondolewa Sitta kwenye uspika, wakina chenge waligombea nafasi na likatengenezwa kama bifu na makundi ya kina sitta na chenge kisha JK akaingilia kati na kumpick mama makinda bia ubishi akapita bila kupingwa.

  Kwa urais ni obvious, maana sitta keshasema atagombea na EL pia harakati zake ni za kugombea na yatapatikana makundi hasimu mawili kama ulivyo uspika, JK ataingilia kati tena na kumpick Dr. wa ukweli, mwanasheria na aliyewahi kuwakilisha UN mama migiro.

  Usicheze na JK!
  waulize madaktari walienda na hoja ya kutomtambua waziri wakarudi na tamko la social responsibility na tamko la uadui wa milele na Mponda na Nkya.
   
 7. T

  Tikerra JF-Expert Member

  #7
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 3, 2008
  Messages: 1,704
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Unamfagilia?Tunajua ni candidate.Na kwa kuwa karibu na hayo majamaa kule New York, obviously ni mmoja wao,and most likely she will be our next president.
   
 8. Hute

  Hute JF-Expert Member

  #8
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 25, 2010
  Messages: 6,062
  Likes Received: 3,928
  Trophy Points: 280
  uyu mama hata kwa bure hawezi kuwa rais wa tz. amepoaaaa kama maji ya mtungini, she is not aggressive, hatutaki kuweka ikulu mtu mpole atakayewachekea na kuwaogopa mafisadi tena. tunataka mtu mkali asiyechekacheka. kama ccm watataka kupoteza moja kwa moja, wamuweke huyu mama. zaidi ya hapo, nafikiri anastahili sasa kupumzika, atafute shamba kule kibaha au mkuranga akalime, sipendi siku moja nije nisike amepewa uwaziri tena hapa tz, kwasababu huwa simkubali tangu awali.
   
 9. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #9
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Asante kaka, umetambua ukweli!
   
 10. v

  vngenge JF-Expert Member

  #10
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 366
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 45
  Hawezi kuwa President mpaka watanzania wamchague kwa kura nyingi kuliko atakaogombea nao. Hii ni kwa mujibu wa Katiba
   
 11. STEIN

  STEIN JF-Expert Member

  #11
  Apr 10, 2012
  Joined: Aug 29, 2010
  Messages: 1,764
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135

  Wewe hujui kitu kabisa.. Unaleta mambo ambayo huwa unaambiwa na si kufikiria mwenyewe...

  Kwa taarifa yako Makinda kawekwa na Mafisada bila hata JK kuelewa nini kinaendelea.

  JK hana ubavu hadi Mgombea mwenza anateuliwa, hadi Wakuu wengi wa Idara nzito na mawaziri anawekewa tu yeye hana jipya.
   
 12. k

  kwitega Senior Member

  #12
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 10, 2012
  Messages: 166
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hilo ni kapi tu kama yalivyo makapi mengine kwenye ccm. urais wa nchi yetu huko tuendako unahitaji mtu makini, mwadilifu, mzalendo na ambaye hatokani na kuandaliwa au kupewa nafasi hiyo na mtu au kikundi cha watu wachache ndani na au nje ya nchi. Kikwete kashindwa kukidhi matarajio ya watanzania. maisha bora yamekuwa maisha balaa. hao anaowaandaa wataweza wapi? itakuwa ni mvinyo ule ule ulichacha, kwenye kikombe kipya. Huyo Dk. Migiro kalifanyia nini taifa hadi afikiriwe kuwa rais? tuache masihala na maisha yetu, watoto wetu na wajukuu wetu.
   
 13. Emmani

  Emmani JF-Expert Member

  #13
  Apr 10, 2012
  Joined: Jan 27, 2012
  Messages: 525
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0

  Hapa naona unashabikia tabia ya kupata mgombea kwa utaratibu wa kuwaondoa wenye sifa na kuweka asiyestahili! hiki kitu kimeliumiza sana taifa!!
   
 14. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #14
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Hii kweli pumba
   
 15. Erickb52

  Erickb52 JF-Expert Member

  #15
  Apr 10, 2012
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 18,566
  Likes Received: 112
  Trophy Points: 160
  Na kitaendelea kuliumiza sana
   
 16. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #16
  Apr 10, 2012
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  sasa hivi kila mtu anaweza kuwa rais. Thanx mjomba kwa njia
   
 17. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #17
  Apr 10, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Migiro kuwa Rais 2015 ni sawa na Jk bado anatawala.
   
 18. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #18
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Tumpe mbeijing nafasi this time!
   
 19. Tume ya Katiba

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #19
  Apr 10, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,892
  Likes Received: 732
  Trophy Points: 280
  Mungi una maana gani hebu fafanua!
   
 20. S

  Stoudemire JF-Expert Member

  #20
  Apr 10, 2012
  Joined: Mar 24, 2012
  Messages: 840
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Mwanamke akipewa itakuwa ni nzuri sema sidhani kama she is interested.
   
Loading...