JK unapotoa rambirambi kwa kanumba 10,000,000/= je wazee wa EAC utwalipa lini mafao yao?

lubaga

Member
Apr 6, 2012
65
17
kutoa salam za rambi rambi kwa msanii maarufu kanumba sio nongwa lakini swali kama hizo rambi rambi tangu anze kutoa wakati wa utawala wake, je hakijafika kiwango cha kuwalipa wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki kama zingekokotolewa hizo rambi rambi?
 
Kwani JK ndiye aliyewaajiri wazee wa EAC?

Hao wazee wanadai toka enzi za Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa akaondoka baada ya kuwalipa pesa kiduchu na sasa Jk ambaye bado hajamaliza muda wake. So give him a break...come with something more concrete.
 
Nyie ndio mkimuona mtu kanunua gari milioni 10 mnalalamika kwa nini asingenunua magunia ya mahindi kapoteza pesa bure.
 
ni majengo wanayomiliki wenyewe.tena wana uwanja mzuri tu nyuma unaotosha kwa tukio lolote kubwa.hata kanumba angetosha kuagiwa pale km nduguze wangetaka.nataka kukuonesha umiliki halali na ukubwa wa eneo walionao chadema pamoja na kupata ruzuku kiduchu toka serikalini isiyolingana na ccm hata robo.
 
hivi wale wazee kosa lao nini mpaka sasa hawajalipwa? dhambi gani walitenda mpaka RITZ anawabeza?
 
Kwanini asingempa kabla hajafa..

Huu ujinga sana..wa kuwasaidia wafu badala ya watu wazima lol..

Siafiki..
 
Kwani JK ndiye aliyewaajiri wazee wa EAC?

Hao wazee wanadai toka enzi za Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa akaondoka baada ya kuwalipa pesa kiduchu na sasa Jk ambaye bado hajamaliza muda wake. So give him a break...come with something more concrete.
nikiwa kama mtoto wa mzee wa EAC ni lazima serikali ilipe hili deni.nasikia walitumia hizi fedha kwenye vita vya kagera.
 
Kwani JK ndiye aliyewaajiri wazee wa EAC?

Hao wazee wanadai toka enzi za Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa akaondoka baada ya kuwalipa pesa kiduchu na sasa Jk ambaye bado hajamaliza muda wake. So give him a break...come with something more concrete.

huwa watu wanaomtetea jk ...ukiangalia sana utagundua tatizo fulani....
ukishakuwa rais unaongoza taasisi ya urais ...unafaanya yote uliyoyakuta mezani au kwenye makabrasha au kwenye records ....yote ,..yaliyopo na yajayo .....ukimaliza muda wako ...anayekupokea anaendelea....ni akili ya kipuuuzi sana eti kusema ...watu wa EAC hakuwaajiri yeye????

Jambo lingine la kusikitisha ni msiba wA Harun Mahundi ...jk ameshindwa kwenda kumnzika...,polisi wamemzika bila heshima stahili hata said mwema hakuwepo.......kajikosha jana kwenda kuhani msiba wa harun mahundi...sasa tunajiuliza ..aliyetumikia na kujitoa kwa taifa ni Kanumba au Harun Mahundi ..? au kwa ajili harun mahundi sio celebrity kwa saasa.....>>>? where is our priorities as a nation?
 
Jamani ni mila zetu na tudumishe -Misiba na harusi -mambo ya maendeleo ni ya KIZUNGU nyie vip bwana
 
Kwani JK ndiye aliyewaajiri wazee wa EAC?

Hao wazee wanadai toka enzi za Mwinyi akaondoka, akaja Mkapa akaondoka baada ya kuwalipa pesa kiduchu na sasa Jk ambaye bado hajamaliza muda wake. So give him a break...come with something more concrete.

The usual juvenile thinking. Suala la East Africa linahusiana nini na utu wake wa kutoa ubani na kuhani msiba? Hivi ni lazima na wewe uanzishe thread? Unamfurahisha nani? Suala la East Africa lina ubishi wa kisheria ambao uko mahakamani. Hivi toka hawa jamaa waanze kudai fedha hizo miaka ya mwanzoni mwa tisini, serikali za wamu kadhaa zimetumia kiasi gani kwa mambo mbalimbali? Acha kulialia wewe, umekua sasa. Au una mzee wako anayedai na wewe una matarajio ya mirathi nini?
 
huwa watu wanaomtetea jk ...ukiangalia sana utagundua tatizo fulani....
ukishakuwa rais unaongoza taasisi ya urais ...unafaanya yote uliyoyakuta mezani au kwenye makabrasha au kwenye records ....yote ,..yaliyopo na yajayo .....ukimaliza muda wako ...anayekupokea anaendelea....ni akili ya kipuuuzi sana eti kusema ...watu wa EAC hakuwaajiri yeye????

Jambo lingine la kusikitisha ni msiba wA Harun Mahundi ...jk ameshindwa kwenda kumnzika...,polisi wamemzika bila heshima stahili hata said mwema hakuwepo.......kajikosha jana kwenda kuhani msiba wa harun mahundi...sasa tunajiuliza ..aliyetumikia na kujitoa kwa taifa ni Kanumba au Harun Mahundi ..? au kwa ajili harun mahundi sio celebrity kwa saasa.....>>>? where is our priorities as a nation?

Mkuu, vipi Slaa, alikwenda kumzika Maundi?
 
ulitaka atoe sh kumi??? uwe unatumia kichwa kufikiri.....huko nyuma hakufai!
 
kutoa salam za rambi rambi kwa msanii maarufu kanumba sio nongwa lakini swali kama hizo rambi rambi tangu anze kutoa wakati wa utawala wake, je hakijafika kiwango cha kuwalipa wastaafu wa jumuiya ya afrika mashariki kama zingekokotolewa hizo rambi rambi?
Mkuu ina maana Rais katoa rambirambi million kumi? Mmmh ina maana kila msiba kumbe huwa anatoa rambirambi. Ni Rais wetu sote sasa inabidi kila mtanzania akifa awe anatoa Rambirambi kama hiyk vinginevyo itakuwa hatendi haki kwa Raia wake anaowatala.
 
huwa watu wanaomtetea jk ...ukiangalia sana utagundua tatizo fulani....
ukishakuwa rais unaongoza taasisi ya urais ...unafaanya yote uliyoyakuta mezani au kwenye makabrasha au kwenye records ....yote ,..yaliyopo na yajayo .....ukimaliza muda wako ...anayekupokea anaendelea....ni akili ya kipuuuzi sana eti kusema ...watu wa EAC hakuwaajiri yeye????

Jambo lingine la kusikitisha ni msiba wA Harun Mahundi ...jk ameshindwa kwenda kumnzika...,polisi wamemzika bila heshima stahili hata said mwema hakuwepo.......kajikosha jana kwenda kuhani msiba wa harun mahundi...sasa tunajiuliza ..aliyetumikia na kujitoa kwa taifa ni Kanumba au Harun Mahundi ..? au kwa ajili harun mahundi sio celebrity kwa saasa.....>>>? where is our priorities as a nation?

Kaka unajua mie nilijiuliza hilo la Mahundi, nikaona statement imeandikwa Ikulu pole imempa Said Mwema halafu kaombwa afikishe kwa familia.

Nikaona Kanumba ndiye kawa kipaumbele. Goes to show you the extent of a this circus. Mahundi hakuwa priority kwa sababu hana PR factor kwa sasa.

Circuses mpaka misibani!
 
Back
Top Bottom