Mkuu unafahamu vema maana ya BikiraKaolewe na mwanaume aliyekutoa bikra, kama unayo hakikisha unaitoa usiku wa ndoa yako.
Mwanaume hana bikra hili kila siku nalisema
Simple tu wanaume na wanawake wote wanatakiwa wajitunze wasifanye ngono kabla ya ndoa... Suala siyo kusema eti mwanaume hata akianza ngono hauwezi kujua tofauti na mwanamke...
Suala hapa ni kila mtu kuwa mkweli kwa nafsi yake na ajue kuwa Mungu anamuona haijalishi akifanya ngono atajulikana na watu au hatajulikana... Maana anayetoa hizo baraka siyo binadamu ni Mungu...
Mkuu unafahamu vema maana ya Bikira
Mkuu unafahamu vema maana ya Bikira
Halafu anataka mahari iwe 2M
Mahari isiofika million1
kwa wastani iwe ngapi kwa asiye na bikira
Kuna sababu nyingi zinazotoa bikra za msichana. Mazoezi na Kazi ngumu, hata michezo. Hata shughuli nyingi tu, baadhi ya wadada ngozi yao ni laini kiasi kwamba anaweza kuwa na shughuli sMkuu unafahamu vema maana ya Bikira
Mahari isiofika million1
Hiyo ni maalum kwetu wapenda tayti tuhAHAHA! Unazingua
Hata tukiharibu potelea mbaliNinyi ndio mnaharibu watoto wa watu? Au mnaharibu vilivyoharibiwa
Alaa kwahiyo Point yako ni kuwa wanawake wajitunze ila wanaume ndiyo wafanye ngono siyoMwanaume hawezi jitunza kwa ajili ya mwanamke, ila mwanamke ni lazima ajitunze kwa ajili ya mumewe na ndio maana kuna bikra.
Mwanamke akiwa bikra na wakiolewa bikra mwanaume atazini na nani?
Kumbuka mwanaume hakuumbwa kwa ajili ya mwanamke bali mwanamke ndio aliumbwa kwa ajili ya mwanamke so lazima ujue hayo, Mwanaume ndiye anayeoa na wala haolewi.
Mwanamke akishakuwa hana bikra na hajaolewa na hata akija kuolewa automatiki ni malaya
Alaa kwahiyo Point yako ni kuwa wanawake wajitunze ila wanaume ndiyo wafanye ngono siyo