Nasubiri jibu lolote kutoka kwa shabiki wa Liverpool
IMG-20210125-WA0042.jpg

Joanah nakuona nakuona!
 
Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini.
Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili,tatu,nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye unania naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?
Muulize huyo binti alifuata nini gesti/ ghetto wakati yeye ni bikira? Je ndoa zinapatikana huko?
 
duh malaika kutoka mbingu gani
Huyu ndumilakuwili hutakiwi hata kuhojiana naye kwa sababu ubongo wake umehamia ndani ya suruali. Anafaa tu kusikitikiwa, kuhurumiwa, na pengine kusaidiwa asije kuvuka ^a point of no return!^ Why!???? Kwa nini lakini!???
 
Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini. Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili, tatu, nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye una nia naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?
Kwani wewe unaoa bikra au? Yaani Kutolewa anatolewa mwengine wewe inakuuuma nini mkuu? oa mwanamke uliyempenda swala la bikra wengine wanataka kuondoa kizuizi tu na wengine ndo hao wanajikuta wamenasa wenyewe kwenye mtego.

Sasa unataka akae na hiyo bikra ili agundue nini? Kuvunja ntaendelea kuvunja wewe endelea kufanya gossip huku mke waki akimkumbuka aliyemvunja ya kwake.

Kikubwa hajalazimishwa mtu na sijavunja sheria za nchi basi hakuna shida wacha kila mtu afanye anachofanya mkuu usijiumize kichwa .

Hope mada kama hizi zitapungua jua kuvunja na kuoa hakuna relationship yeyote .

N.b
Project bado zinaendelea

Let' meet at the top ✌.
 
Aiseee kuna watu ni wanoma wakianza kukuambia historia yake ambavyo wanawake wametolewa bikra kupitia yeye mpaka huwezi amini. Unakuta Mtu anakuambia nimetoa bikra zaidi ya mbili, tatu, nne n.k.
Ukimuuliza je vipi hao wote uliowatoa bikra utawaoa au laaah?
Au kati ya hao uliowatoa bikra yupo ambaye una nia naye?
Yaani utakutana na majibu mengi sana wakati huo unataka jibu moja tu!!!
Vipi ulishawahi kutana na watu Wa aina hiyo?
Niulize swali, ivi hao wenye bikra wanapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom