Mjanja M1
JF-Expert Member
- Oct 7, 2018
- 3,743
- 12,642
Hii sio Agenda Mkuu, hili ni swali kwa wazazi wetu wakike waliotulea.Wala sio maarifa ni kuwashushia thamani wanawake ndio ajenga kuu humu kilasiku lakini uzuri ni kwamba Kuishi bila sisi haiwezekani na sisi bila nyinyi ni ngumu