Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
 
Mwanaume ndo kichwa cha familia!!!

Tuwache uwoga kwani unataka kusema ukioa hawa single mothers wana shida gani? Kama kuuza mechi hata hawa ambao sio single mothers wanauza
Unapaniki Mkuu.

Nimekwambia nenda kamuulize Bi Mkubwa kuwa, ni sahihi Mwanaume kuoa Mwanamke mwenye mtoto.?
 
Wala sio maarifa ni kuwashushia thamani wanawake ndio ajenga kuu humu kilasiku lakini uzuri ni kwamba Kuishi bila sisi haiwezekani na sisi bila nyinyi ni ngumu
Hii sio Agenda Mkuu, hili ni swali kwa wazazi wetu wakike waliotulea.
 
Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
Hela zipo za kutosha Mkuu, hili ni swali kwa wazazi wetu wakike waliotulea kuhusu kuoa Single Mother.

Unadhani Bi Mkubwa wako ukimuuliza swali hili atakujibu kitu gani?
 
Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
Wewe umeoa singo maza?
 
SINGLE MOTHERS NI LAANA

Single moms ni wanawake ambao hawatafuti upendo na wala hawajui kupenda

Wao huwa wanatafuta wanaume wajinga wajinga wa kuwasaidia hasa kwenye malezi

Moja ya wanaume wajinga ni mcheza kikapu maarufu Shaquille O'Neal's. Huyu atawakilisha wanaume wote wajinga wanaooa single moms.

Iko hivi mwanamama Shaunie alikuwa ameolewa na mume wake wa kwanza aitwaye David Lamar Baptiste na wakapata mtoto mmoja.

Shaq akamuoa huyo mwanamama single mom wakapata watoto na akaanza kulea bao la mwanaume mwenzake David Lamar Baptiste.

Baada ya kuachana na Shaq na kupata paycheck na uhakika wa child support kwa watoto single mom Shaunie hatimaye kakiri kuwa hakuwahi kumpenda Shaq.

Hivi ndivyo single mothers hufanya, they're just looking for foolish mrn with resources to help them take care of their children baada ya hapo ndio utaona their true colors.

Single moms ni laana

20240512_164024.jpg
 
Watakupopoa. Nami niongezee, pia wanaume kuweni makini mnapozaa na hawa wanawake na mkaamua kulea mtoto huku akikaa na mama yake. Wanawake wa kisasa wanasort me mwenyeuwezo wa kumlelea mwanae kwa maana ya matumizi kama kumpeleka shule nzuri (elewa neno mwanae). Akimpata anazaa nae, me utatuma sana matumizi kwa mahaba ya mwanao aishi vizuri na asome, ukisahau kuwa swa la malezi umwemwachia single mama kwa 100%. Hapo kwenye malezi ndio kuna tatizo, wapo wanaowapa sumu watoto ambazo huonekana wakikua. Umelea, umesomesha ila dogo akifanikiwa wewe hukumbukwi kama una mchango kwenye mafanikio yake. Utaanza mlaumu dogo kumble alishakula sumu tangu utoto.

Wanaumeee malezi malezi malezi sio kutuma matumizi ni kujua mtoto anavyokua anakua na maarifa gani kichwani
 
Back
Top Bottom