Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
 
Mwanaume ndo kichwa cha familia!!!

Tuwache uwoga kwani unataka kusema ukioa hawa single mothers wana shida gani? Kama kuuza mechi hata hawa ambao sio single mothers wanauza
Unapaniki Mkuu.

Nimekwambia nenda kamuulize Bi Mkubwa kuwa, ni sahihi Mwanaume kuoa Mwanamke mwenye mtoto.?
 
Wala sio maarifa ni kuwashushia thamani wanawake ndio ajenga kuu humu kilasiku lakini uzuri ni kwamba Kuishi bila sisi haiwezekani na sisi bila nyinyi ni ngumu
Hii sio Agenda Mkuu, hili ni swali kwa wazazi wetu wakike waliotulea.
 
Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
Hela zipo za kutosha Mkuu, hili ni swali kwa wazazi wetu wakike waliotulea kuhusu kuoa Single Mother.

Unadhani Bi Mkubwa wako ukimuuliza swali hili atakujibu kitu gani?
 
Dogo hamchoki haya ma uzi asee. Kwa siku unaanzisha uzi ngapi za hivi asee. Kwani umelazimishwa kuoa wa hivyo. Si uchague mabikira unaowataka uachane na ma singo mama. We hujaambiwa uwaoe lakini unavyotoka povu

Usipangie watu maisha. Hebu achana na maisha ya watu dogo.

Tafuta hela ujiepushe na masumu mwilini
Wewe umeoa singo maza?
 
Back
Top Bottom