Single Mother acheni kumtafuta Mchawi

Mjanja M1

JF-Expert Member
Oct 7, 2018
3,660
12,306
Habari zenu Wakuu,

Nimekuwa naona wanawake wengi waliozalia nyumbani wakilalamika kuwa sisi wanaume ndio sababu ya wao kuwa single Mother, wengine wanasema "Kwani mimba tulijibebesha wenyewe" n.k

Ngoja niwaambie kitu nyie single mothers, huwezi kushindana na Mwanaume hata siku moja, na pia sisi wanaume tunatamaa za kingono kuliko nyinyi ndio maana tunaweza kutongoza kila demu mzuri anaepita mbele zetu.

USITHUBU HATA SIKU MOJA kujilinganisha na sisi wanaume UTAUMIA VIBAYA MNO!

Narudia tena UTAUMIA VIBAYA MNO!

Muumba wako alikupa Bikra ili ujitunze na sio vyenginevyo, lakini Sisi wanaume hatukupewa Bikra. Jiulize kwanini muumba aliwapa Bikra nyie na sio sisi wanaume?

Umeshindwa kuitunza Bikra yako mpaka ukabeba ujauzito halafu unakuja kutulaumu sisi wanaume wengi wenye tamaa. Ukiona nakutongoza na sijakuoa basi tafadhali jilinde namimi, maana naweza kukutafuna na kusepa kwa Kasi ya Treni ya Umeme inayoendelea kujengwa na serikali ya Mama Kizimkazi.

Tambua kuwa nikikupa Ujauzito niwewe ndio unapoteza zaidi kuliko mimi Mwanaume, kwahyo jitunzeni na acheni kumtafuta mchawi/mtu wa kumbebesha lawama.

NB. MWANAUME WA KUMZALIA NI MWANAUME ALIEKUWEKA NDANI TU, MAANA HATA SHERIA ITAKULINDA AKIZUNGUA.

OVA!

Ukipata nafasi ya kuandika tena text ndefu kama hivi, andika vya maana bro...sisi wanaume hatuko hivyo labda wavulana kamanda.
 
Kwani dhambi??
Ni dhambi kubwa sana Mkuu.

Unajisikiaje wanaume wengi wanaposema hawaoi wanawake waliozalia nyumbani?

Mbaya zaidi unakuta umezalishwa halafu huna mbele wala nyuma, unakaa home na mwanao kwa wazazi wako.

Tambua kuwa ukizaa nje ya ndoa umewadhalilisha wazazi wako na unawabebesha Mizigo isiyowahusu.

WANAWAKE JITUNZENI
 
Ukipata nafasi ya kuandika tena text ndefu kama hivi, andika vya maana bro...sisi wanaume hatuko hivyo labda wavulana kamanda.
Mwanaume mwenye urijali ndani yake hawezi kukubali kuoa single mother kirahisi hata siku moja.

Mwanaume ni mtawala, hawezi kukubali Mwanamke wake atawaliwe na Mwanaume/Ukoo mwengine kisa alizaa nje.

Wewe bado ni Dogo na sio Mwanaume kama unavyosema.

SISI WANAUME WA KWELI HATUOI WANAWAKE WENYE MAMBO MENGI (Including kuzaa nje).

Iga hata kwa wanyama basi, au ndo unatumia akili za kuvukia road kutoa maoni?

Simba akikuta Jike limezaa huwa linaangamiza uzao alioukuta ilia aanzishe uzao wake. THAT IS NATURE DOGO!

WEWE BADO NI MVULANA NA SIO MWANAUME KAMA UNAVYOSEMA
 
MM naona vijana ndo mnahangaika na single mothers.

Kama kila mwanaume anamchakata single mother na kuondoka zake hawa wanaofungua mada za malalamiko ni kaka zao? Kwanini wenyewe hawafungui wala hawana mada za malalamiko, maangalizo kama vijana?

Inawezekana ni watamu sana ila ndo hivyo kutwa kuwashushia vitu vizito utosini vijana ndo maana kelele nyingi.
 
Tunawakumbusha vijana wadogo wasijekuingia kwenye mtego wa Single Mothers.

Wanawake ni jukumu lao kujitunza.

Ova!
Kwanini mnahisi vijana wataopt single mothers badala ya vijana wenzao wasio na watoto?
 
Back
Top Bottom