T A J I R I
JF-Expert Member
- Feb 21, 2014
- 1,778
- 3,642
Dada hawaonewi, ndivyo ilivyo. Robo tatu ya single mama wapo kimkakati tu. Wanatafuta mwanaume wa kuwa daraja amkuzie watoto baasiii. Inatuuma kuona wanaume wanatapeliwa kizembe kwa kuendekesa mbususu. Ndio maana tunawaamsha.I'm not a single mom..
Ila mnawaonea jamani khaaa!!!
Yaan mmekuwa ving'anga'aaa!
Kuna wana wengi sana humu huleta nyuzi za kuwatetea single mama, na wengine wameoa single moms na wanadai wanaishi poa kabisa. Wasichojua single mum anaweza kukupeti peti hata kwa miaka 10 akisuka mchongo wake ukituck ndio utamjua sasa. Na mchongo wao mkubwa ni kumlele watoto wake tu ili wafanikiwe kisha afaidi peke take. So sad sister