Gily Gru
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 7,860
- 21,001
Uko poa Padre?Ukijilengesha mimba kwabkuwa umeina jamaa anakaupepo ka hela mtateseka tu. Kama jamaa anaonesha hana niabya kuwa na wewe on permanent term kwanini umbebee mimba?
hii ilinitokea sana kipindi cha nyuma kila mwanamke anajilengesha tena kwa pigo za kunizalia kwa sababu wanajua nina visenti. 🤔 most girls do this tena kuna mmoja alikuwa nurse yule single maza ni mpumbavu sana.
Unajua tulitoka kuwa marafiki sana wa karibu. Nikienda kwake namnunulia zawadi dada wa kazi na katoto Kake ka kike. Wema wangu ulinisaidia sana. Dada wa kazi alinambia usiku dada anachanganya majani na kuwasha Mishumaa na kutaja jina lako😡😡😡
Kuna vitu vingi hatuwezi sema ila kuna watu wana roho za uharibifu na huwa nazikemea kwa Jina ya Yesu. .