Mashairi ya mapenzi ya Suleiman 🤣🤣🤣🤣
Mwamba ,"Suleiman" alijua kuimbisha hadi sio poa.
Nasemaje???? Kutongoza ni fani za watu.
Unashusha mistari hadi pisi kali inashusha pumzi...eehuuu inaishia kukumbatia taitiiii🤣🤣🤣
 
Aah wapi, mto marangu, wami na ruvu tu?
Mimi nimevuka hadi mipaka na sisemi...acha uboya😂😂
bahati mbaya tu ungwasi iko nyuma. Ila natokea huko msituni navuka mito mpaka nifike kiboro nimechoka
Home tunatumia maji ya mto bomba tumeweka juzi tu. Nyumba ya mzee wamekuja watu wanadai Mita 60 kutoka mtoni ni sehemu ya mto😀
 
I have interacted with here before Clepatina is one of the people I like having conversations here huwa nafarijika sana.

Ila mada ya leo nimepata ukakasi kuna kitu nyuma ya pazia😀 women get emotional always
actually must be something hidden and suppresed and that's the only way she release, its good for health though
 
Hakuna kitu sipendag kama bikra

Hata ikitokea nikapenda kibinti ambacho ni bikra nitasubir wakitoboe madogo wenzie kwanza ndo mzee baba niingie
 
Wewe mweleze ukweli kuwa kuna wadada umewzalisha likiwemo shangazi yule wa safari ya analyse😀

kifupi mwambie kwamba yule shangazi alitaka mwenyewe. Mbali na kuwepo njia za uzazi wa mpango zote na kujitahidi kote kumwaga nje😁 shangazi alitaka mwenyewe kuzaa abebe mzigo wake😃
Kaka 😅😅😅
 
Back
Top Bottom