Hismastersvoice
JF-Expert Member
- Jan 26, 2013
- 18,673
- 22,264
Wenzako walipotakiwa kuonesha hiyo sheria mahakamani walishindwa wewe bado unsng'ang'ania matakwa ya CCM!Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Ina shangaza. kama mnakumbuka kesi ya mauaji ya Raisi wa mwanzo wa Zanzibar ilikuwa ikonyeshwa kwenye TV.Baada ya Jana jamii kupata habari ya kila kilichotokea Mahakamani kwa ufasaha bila kupindisha Leo jeshi la Polisi limedhibiti uingiaji Mahakamani pamoja na kuzuia matumizi ya simu...
Mhimili
si manataka kuona anavyofungwa au hamtakiiii?mtoa mada una matatizo ya kiakili au umasikini uliokithiri
Ndiyo hapo mnazidi kumtukana na huyo kengeza wenu lazima alambe mvua za maisha na akitoka kengeza limekaa sawaBora huyu Buibui yule Chizi alikuwa na laana.
Mama alitereza tu kwa hiyo kauli.Baba yako angeporwa pesa zote huko benki ungefurahia?
Ccm wenyewe wamefurahia msiba au unajisahaulisha?
"Hizi ni baraka za mungu Mimi kuongoza nchi na baraka ikija tusiiache-samia suluh 2021"
Baraka=kufariki magufili
Thubutuu!! Mbowe anashinda kwa ulainiNdiyo hapo mnazidi kumtukana na huyo kengeza wenu lazima alambe mvua za maisha na akitoka kengeza limekaa sawa
Kengeza wenu hawezi kushinda, maana aliandaa sherehe kifo cha rais Dkt JPM huku akijua yeye ni gaidi gaidiThubutuu!! Mbowe anashinda kwa ulaini View attachment 1940724
Taja kifungu !Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa
Mbona kila mtu aliusheherekea ule Mzoga hata bi Hangaya alifurahia kukwaa Bingo bila jasho.Kengeza wenu hawezi kushinda, maana aliandaa sherehe kifo cha rais Dkt JPM huku akijua yeye ni gaidi gaidi
Kengeza...!!! Utazaa kipofu !!!!!Kengeza wenu hawezi kushinda, maana aliandaa sherehe kifo cha rais Dkt JPM huku akijua yeye ni gaidi gaidi
😁😁😁Kazi hipoFreeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
Nimeona chapishi nyingi humu kana kwamba sentenzi zake kama haziko sawa.Hata chapisho hili nikama limeingiziwa maneno Ili mada isieleeekeFreeman Mbowe na wenzake wameletwa tayari. Lakini ulinzi mkali umeimarishwa. Askari wengi. Pia kuna zuio la watu kuingia ndani ya mahakama. Wanasema ni mawakili 20 tu, wanahabari 10 (leo wameruhusiwa), ndugu 5, Viongozi 5, lakini simu marufuku...
Ni kifungu Cha Sheria namba ngapi?Kisheria hairuhusiwi kuingia na simu ikiwa imewashwa ndani ya chumba au eneo kesi inapoendeshwa; acheni kuingiza siasa kwenye masuala ya kisheria. Kuchambua ushahidi kwenye mitandao ni kuilekeza mahakama namna ya kufikia uamuzi kitu ambacho ni kosa