vicoba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. R-K-O

    Wanawake wanaocheza michezo na vicoba wananufaiaika zaidi kuliko wanaume wanaobeti, Je ni muda wa wanaume kujitafakari kuhamia Vicoba ?

    Kote kuna "risk" za uso zipo ila uhalisia haujifichi, Kwenye vicoba kuna "Uwezekano / probability" kubwa kuzidi betting Betting ni janga kubwa sana hapa nchini kwa wanaume, watu wanakula sana za uso hadi huruma, lakini ndio wanazama kabisa uraibu inakuwa ngumu kuacha kama ilivyo ulevi wa pombe...
  2. Kiboko ya Jiwe

    Endeleeni tu kuwaruhusu wake zenu wajiunge na VICOBA na mikopo ya kausha damu

    Kwa hakika mwanamke akiwa mzuri hutongozwa mpaka mara 50 kwa mwezi na akiwa mbaya hutongozwa mpaka mara 15 kwa mwezi endapo atakuwa anafanya kazi mahali pa watu wengi (public). Sasa mikopo ya kausha damu au chupi mkononi ambayo inamtaka arudishe marejesho kila siku ile siku hana cha kurudisha...
  3. B

    Kilimanjaro: Mtoto adaiwa kumuua mama kisa Sh5,000 ya Vicoba

    Rombo. Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa kumpasua kichwa akitumia jiwe wakati akikata majani ya ng'ombe. Tukio hilo linadaiwa kutokea...
  4. T

    Badala ya kusema VICOBA sio vizuri, tumieni muda huo kutoa Elimu ya nidhamu ya matumizi ya fedha

    Vijana wa kiume na wanaume wengi wakiwa wamejiajiri kwenye bodaboda, vijana wa kike na wamejikita kutafuta mitaji ya biashara kupitia VICOBA. VICOBA mpaka sasa vimesaidia wengi sana kutokana na unafuu wa riba na upatikanaji wake kulinganisha na taasisi nyingine za kifedha na zimesaidia...
  5. R

    Nakubaliana na CCM kwamba bodaboda na vicoba ndiyo njia pekee iliyobaki kuwakomoa Watanzani wajifunze kujitegemea

    Mtoto akililia wembe mwache umkate. Mtu yeyote anayesema bodaboda na vikoba siyo njia sahihi yakumkomoa Mtanzania akapimwe akili. Ukiona MTU amekubali kuwa bodaboda na ukamwambia ukuletwa Duniani kuja kuendesha bodaboda then huyo MTU akakupinga nakutamani urudi ukimbizini basi usiumize kichwa...
  6. Robert Heriel Mtibeli

    Kama hana kazi asishiriki VICOBA, utalia

    Na, Robert Heriel Vikoba ni msaada mkubwa kwa watu wasioweza kuhifadhi pesa, watu wasio na msukumo wa kutafuta pesa. Vikoba humsaidia mtu kupata msukumo wa kutafuta pesa ili apate pesa ya marejesho. Vikoba vina faida nyingi sana, lakini faida kuu ni msukumo wa kutafuta pesa iwe kwa halali au...
  7. S

    SoC02 Upatu/ VICOBA/ Marejesho na Afya ya wanawake

    Mwishoni mwa mwezi uliopita nilikuwa natoka maeneo ya Manzese (kufuatilia jambo) kuelekea Makumbusho. Eneo nililokuwapo lina Kituo cha Daladala kiitwacho Big Brother na ndipo nilipopandia gari. Garini palikuwa na abiria wachache waliotawanyika mithili ya punje za mtama zilizotoswa ardhini. Nami...
  8. EMMANUEL JASIRI

    Hii shida kwenye baadhi ya VICOBA , itaisha lini?

    Nimekuwa nikishuhudiwa kuhusu mafanikio makubwa, Waliyopata, Kutokana na huu mfumo wa kifedha,maarufu kama VICOBA Lakini hata hivyo, Wengine mfumo huu umesababisha maumivu makali kwao, Na kuwaacha wakilia, Mfano, nimekuwa nikipata taarifa toka kwa watu wangu wa karibu, ambao...
  9. M

    Nimeacha uzinzi, hela ya gesti nawekeza VICOBA!

    Ndugu zangu nimeacha rasmi uzinzi kuhangaika na mademu wa kuokota njiani. Toka 1997 sijaona faida ya uzinzi zaidi ya kutumia gharama kubwa na kujiweka hatarini na magonjwa ya UKIMWI/Zinaa/COVID. Pesa ya kulipia gesti na pombe napeleka VICOBA tukutane May 2022.
Back
Top Bottom