Kilimanjaro: Mtoto adaiwa kumuua mama kisa Sh5,000 ya Vicoba

Bravo AI

Senior Member
Jan 13, 2023
111
215
Rombo. Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa kumpasua kichwa akitumia jiwe wakati akikata majani ya ng'ombe.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 24, mwaka huu baada ya kijana huyo kumwambia marehemu akamwonyeshe sehemu ya kukata majani ya ng'ombe na alipofika eneo aliloonyeshwa alimvizia wakati ameinama akikata majani na akampiga na jiwe lililompasua kichwa.

Kijana huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo kwa lengo la kupora.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga amekiri kutokea kwa tukio hilo akisema tayari Jeshi la Polisi wilayani humo linamshikilia mtuhumiwa kwa mahojiano zaidi," alisema.

Akieleza undani wa tukio hilo jana, Diwani wa Kata ya Ngoyoni, Felician Kavishe alisema tukio lilitokea Aprili 24, 2023 baada ya mama huyo kulaghaiwa na mtoto wa shemeji yake wakaenda mbugani kukata majani asijue lengo la mtoto wake huyo.

"Sasa ilipofika Jumatatu mama hajaonekana ikabidi aulizwe kijana aliyeondoka naye, baadaye huyu kijana akawaambia twende nikawaoneshe sehemu ambayo alikuwa anakata majani, alipofika pale eneo ambalo ndio alikuwa anakata majani kumbe ndipo alipomuulia yule mama na waliukuta mwili wake,” alisema.

Hata hivyo, alisema kijana huyo alidai kuwapo kwa mzee anayeishi karibu na eneo hilo kuwa ndiye anayehusika. Hata hivyo, diwani huyo alisema alipigiwa simu na jirani wa marehemu kwamba watoto wa marehemu wamekwenda kumwona mama yao lakini walikuta mlango umefungwa na ndipo walipofanya mawasiliano na majirani na walikubaliana wavunje mlango.

"Nilipofika ni kweli kulikuwa hakuna vitu ndani kama karanga za yule mama na sanduku la kuhifadhia nyaraka za kikundi hamna, sasa nikawa najiuliza ni kweli huyu mzee anaweza kuja humu ndani na kwenda kufungua mlango na kuondoka na vitu? Nikasema hapana," alisema.

fedha za Vicoba ambazo mama huyo alikuwa mweka hazina na alikuwa na sanduku la fedha hizo.

Alisema baada ya kumbana zaidi yule kijana, alikiri kuchukua karanga na alipoulizwa kuwa amezipeleka wapi, akakubali kwenda kuonyesha mtu aliyemuuzia na akasema funguo zile alikwenda kuzificha shambani kwa mtu.
"Alituonyesha funguo nikamwambia kwa maana hiyo unajua vitu vingine vilipo kwa maana ya lile sanduku lenye taarifa za kikundi mama alichokuwa kiongozi.

"Mwisho wa siku alikiri ni kweli ndio amemuua yule mama kwa sababu alifikiri lile sanduku lilikuwa na fedha kwa sababu yule mama alikuwa ni kiongozi wa kikundi lakini lile sanduku lilikuwa na Sh5,000 tu," alisema.
 
Tatizo la hao watu wa huo mkoa wa nafikiri wizi ni ujanja, wana fundisha vijana kua wezi kupenda sanaa pesa madhara yake ndo hayo.
 
Tunawalinda watoto wetu kwa kuwafanya waishi ktk misingi ya maadili bora,
Tuko buzzy kupinga homophobia,

Wizi na ujambazi haya ndio maadili mema na bora ya mtanzania.
Na mtoto huyu amedhihirisha hilo.
 
Hivi Rombo wanakaa kabila gani...?
 
Ameshagonga viza ya kuingia gerezani kwa tamaa zake mwenyewe
 
Tatizo la hao watu wa huo mkoa wa nafikiri wizi ni ujanja, wana fundisha vijana kua wezi kupenda sanaa pesa madhara yake ndo hayo.
uchagani maisha magumu sana asikuambie mtu ndio maana wachaga hawataki kukaa kwao ni mwendo wa kwenda mikoa mingine. Ni sahihi uchagani uwizi ni ujanja na mchaga asipoiba haridhiki maana watamwona fala.

Hawa wameshachanganyikiwa watu wanaojisifu kuiba jambo ambalo liko ndani ya amri kumi za Mungu kwamba "usiibe". sasa njoo kwenda kodi za serikali hakuna watu wanaiibia serikali km wachaga.
 
Rombo. Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa kumpasua kichwa akitumia jiwe wakati akikata majani ya ng'ombe.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 24, mwaka huu baada ya kijana huyo kumwambia marehemu akamwonyeshe sehemu ya kukata majani ya ng'ombe na alipofika eneo aliloonyeshwa alimvizia wakati ameinama akikata majani na akampiga na jiwe lililompasua kichwa.

Kijana huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo kwa lengo la kupora.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga amekiri kutokea kwa tukio hilo akisema tayari Jeshi la Polisi wilayani humo linamshikilia mtuhumiwa kwa mahojiano zaidi," alisema.

Akieleza undani wa tukio hilo jana, Diwani wa Kata ya Ngoyoni, Felician Kavishe alisema tukio lilitokea Aprili 24, 2023 baada ya mama huyo kulaghaiwa na mtoto wa shemeji yake wakaenda mbugani kukata majani asijue lengo la mtoto wake huyo.

"Sasa ilipofika Jumatatu mama hajaonekana ikabidi aulizwe kijana aliyeondoka naye, baadaye huyu kijana akawaambia twende nikawaoneshe sehemu ambayo alikuwa anakata majani, alipofika pale eneo ambalo ndio alikuwa anakata majani kumbe ndipo alipomuulia yule mama na waliukuta mwili wake,” alisema.

Hata hivyo, alisema kijana huyo alidai kuwapo kwa mzee anayeishi karibu na eneo hilo kuwa ndiye anayehusika. Hata hivyo, diwani huyo alisema alipigiwa simu na jirani wa marehemu kwamba watoto wa marehemu wamekwenda kumwona mama yao lakini walikuta mlango umefungwa na ndipo walipofanya mawasiliano na majirani na walikubaliana wavunje mlango.

"Nilipofika ni kweli kulikuwa hakuna vitu ndani kama karanga za yule mama na sanduku la kuhifadhia nyaraka za kikundi hamna, sasa nikawa najiuliza ni kweli huyu mzee anaweza kuja humu ndani na kwenda kufungua mlango na kuondoka na vitu? Nikasema hapana," alisema.

fedha za Vicoba ambazo mama huyo alikuwa mweka hazina na alikuwa na sanduku la fedha hizo.

Alisema baada ya kumbana zaidi yule kijana, alikiri kuchukua karanga na alipoulizwa kuwa amezipeleka wapi, akakubali kwenda kuonyesha mtu aliyemuuzia na akasema funguo zile alikwenda kuzificha shambani kwa mtu.
"Alituonyesha funguo nikamwambia kwa maana hiyo unajua vitu vingine vilipo kwa maana ya lile sanduku lenye taarifa za kikundi mama alichokuwa kiongozi.

"Mwisho wa siku alikiri ni kweli ndio amemuua yule mama kwa sababu alifikiri lile sanduku lilikuwa na fedha kwa sababu yule mama alikuwa ni kiongozi wa kikundi lakini lile sanduku lilikuwa na Sh5,000 tu," alisema.
Aiseeee...Hali inatisha.
Angemuomba mbona angeweza kumpa tu....

Pumzika kwa Amani Mama Massawe.
 
Ningekuwa mpelelezi ningeanza na kuchunguza miaka ya huyu kijana.Mama yake mdogo ana miaka 62 na yeye ana miaka kumi na tano,ina maana mama yake mzazi ana zaidi ya miaka 63.Kuna uwezekano anataka kujifanya ni minor akipatikana na hatia asinyongwe mpaka afe.
Hapana mkuu ni mama mdogo katika muktadha wa kwamba marehemu ni mke wa baba mkubwa wa Mtuhumiwa nipo tayari kusahihishwa
 
Rombo. Kijana wa miaka 15 (jina linahifadhiwa), mkazi wa Kijiji cha Ngareni, Kata ya Ngoyoni, wilayani hapa, anashikiliwa na Jeshi la Polisi akidaiwa kumuua mama yake mdogo, Taudensia Massawe (62) kwa kumpasua kichwa akitumia jiwe wakati akikata majani ya ng'ombe.

Tukio hilo linadaiwa kutokea Aprili 24, mwaka huu baada ya kijana huyo kumwambia marehemu akamwonyeshe sehemu ya kukata majani ya ng'ombe na alipofika eneo aliloonyeshwa alimvizia wakati ameinama akikata majani na akampiga na jiwe lililompasua kichwa.

Kijana huyo anadaiwa kufanya mauaji hayo kwa lengo la kupora.

Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Kanali Hamis Maiga amekiri kutokea kwa tukio hilo akisema tayari Jeshi la Polisi wilayani humo linamshikilia mtuhumiwa kwa mahojiano zaidi," alisema.

Akieleza undani wa tukio hilo jana, Diwani wa Kata ya Ngoyoni, Felician Kavishe alisema tukio lilitokea Aprili 24, 2023 baada ya mama huyo kulaghaiwa na mtoto wa shemeji yake wakaenda mbugani kukata majani asijue lengo la mtoto wake huyo.

"Sasa ilipofika Jumatatu mama hajaonekana ikabidi aulizwe kijana aliyeondoka naye, baadaye huyu kijana akawaambia twende nikawaoneshe sehemu ambayo alikuwa anakata majani, alipofika pale eneo ambalo ndio alikuwa anakata majani kumbe ndipo alipomuulia yule mama na waliukuta mwili wake,” alisema.

Hata hivyo, alisema kijana huyo alidai kuwapo kwa mzee anayeishi karibu na eneo hilo kuwa ndiye anayehusika. Hata hivyo, diwani huyo alisema alipigiwa simu na jirani wa marehemu kwamba watoto wa marehemu wamekwenda kumwona mama yao lakini walikuta mlango umefungwa na ndipo walipofanya mawasiliano na majirani na walikubaliana wavunje mlango.

"Nilipofika ni kweli kulikuwa hakuna vitu ndani kama karanga za yule mama na sanduku la kuhifadhia nyaraka za kikundi hamna, sasa nikawa najiuliza ni kweli huyu mzee anaweza kuja humu ndani na kwenda kufungua mlango na kuondoka na vitu? Nikasema hapana," alisema.

fedha za Vicoba ambazo mama huyo alikuwa mweka hazina na alikuwa na sanduku la fedha hizo.

Alisema baada ya kumbana zaidi yule kijana, alikiri kuchukua karanga na alipoulizwa kuwa amezipeleka wapi, akakubali kwenda kuonyesha mtu aliyemuuzia na akasema funguo zile alikwenda kuzificha shambani kwa mtu.
"Alituonyesha funguo nikamwambia kwa maana hiyo unajua vitu vingine vilipo kwa maana ya lile sanduku lenye taarifa za kikundi mama alichokuwa kiongozi.

"Mwisho wa siku alikiri ni kweli ndio amemuua yule mama kwa sababu alifikiri lile sanduku lilikuwa na fedha kwa sababu yule mama alikuwa ni kiongozi wa kikundi lakini lile sanduku lilikuwa na Sh5,000 tu," alisema.
Mbona hayo maelezo kama ya kuunga unga? Kiufupi nimesoma habar yote ila maelezo hayajanishawishi kwamba dogo ni muuaji.
 
Back
Top Bottom