Kama unapenda aendelee kuwa waziri sasa unaweza kumbadilisha vizara ila kwa wizara ya nishati kusema kweli ni changamoto kubwa:
Watu wanalia kila kukicha lakini wewe kuna uwezekano hupati taarifa sahihi,ila naomba ujue hali sio nzuri!
Gharama za maisha zimepanda watu wa ofisi ndogondogo kama za saloon na maduka ya vivywaji, kuchomelea, gereji n.k wanaumia sana na kukatika kwa umeme na hii hali inawafanya warudi nyuma!
Kibaya zaidi kumekuwa na ngonjera nyinyi na vizingizio visivyoisha kila kukicha matatizo!
Jana amepeleka waandishi wa habari kwenye bwawa na mwl Nyerere sasa kitu kizuri ila mtaani performance yake bado ni ndogo!
Mimi sina chuki na Makamba ila kwenye nishati kapwaya mbadilishie wizara!.
Asanteh